Jibu ni ndiyo, kulingana na maandiko ya Biblia ni sawa, Kama Adamu na Eva wasingekula tunda, mwanadamu angeendelea kuishi akiwa uchi kabisa bila kuona aibu, hofu, wala hitaji la nguoOk¡ swali la nyongeza, MUNGU aliona vyema... sisi kuwa uchi, ina maana kama wasingekula tunda tungebaki hivyohivyo?
Nini kinatufanya kuwa na hamu ya ngono, baada ya kuona maungo ya wanawake?Jibu ni ndiyo, kulingana na maandiko ya Biblia ni sawa, Kama Adamu na Eva wasingekula tunda, mwanadamu angeendelea kuishi akiwa uchi kabisa bila kuona aibu, hofu, wala hitaji la nguo
Katika mtazamo wa kitheolojia, Adamu na Eva hawakuwa "tupu." Walikuwa wamevikwa utukufu, nuru, na uwepo wa Mungu. Nuru hii ilitosha kabisa kuwasitiri, kiasi kwamba hawakuhitaji kitambaa au nguo ya kushonwa.Ok¡ swali la nyongeza, MUNGU aliona vyema... sisi kuwa uchi, ina maana kama wasingekula tunda tungebaki hivyohivyo?
Hapa ni kisayansi sasa sio kiimani ni hisia tu hormones huchochea kuleta msisimuko na hormone zilizomo kwa mwanaume zinachochoea haraka zaidiNini kinatufanya kuwa na hamu ya ngono, baada ya kuona maungo ya wanawake?
asante... Mkuu¡ kwa nini MUNGU aliwavisha ngozi kama mavazi, ambayo sina uhakika kama yaliwasitiri vyema miili yao¡Katika mtazamo wa kitheolojia, Adamu na Eva hawakuwa "tupu." Walikuwa wamevikwa utukufu, nuru, na uwepo wa Mungu. Nuru hii ilitosha kabisa kuwasitiri, kiasi kwamba hawakuhitaji kitambaa au nguo ya kushonwa.
Ndiyo nimekuambia kuwa ni mambo ya kibiology kuwa unapoona maungo ya kike, ubongo wako unatafsiri picha hiyo kingono, ubongo unamwaga kemikali ya Dopamine (kemikali ya hamu na motisha) na kuchochea tezi kutoa Testosterone (kichocheo kikuu cha hamu ya ngono kwa wanaume na wanawake). Kemikali hizi husababisha mapigo ya moyo kwenda kasi na kuongeza msukumo wa damu kwenda kwenye viungo vya uzazi.Nini kinatufanya kuwa na hamu ya ngono, baada ya kuona maungo ya wanawake?
asante mkuu... Kama ni dopamine, ambayo inatusababisha. kwanini YESU anasema ukimtamani mwanamke unakuwa unazini tena?Ndiyo nimekuambia kuwa ni mambo ya kibiology kuwa unapoona maungo ya kike, ubongo wako unatafsiri picha hiyo kingono, ubongo unamwaga kemikali ya Dopamine (kemikali ya hamu na motisha) na kuchochea tezi kutoa Testosterone (kichocheo kikuu cha hamu ya ngono kwa wanaume na wanawake). Kemikali hizi husababisha mapigo ya moyo kwenda kasi na kuongeza msukumo wa damu kwenda kwenye viungo vya uzazi.
ndiyo ageendelea kuishi kwasababu biblia inasema mkila inamaanisha wingiAsante...
Mungu alisema mkila tunda mtakufa, je... Hawa angeendelea kuishi na yeye?
kinacho kufanya uwe na hamu sio kuona maungo hayo ila tafsiri yake kichwan kwako ndo inakupa hamuNini kinatufanya kuwa na hamu ya ngono, baada ya kuona maungo ya wanawake?
Lakini haya SI hata waganga wanayatoa?Demon...
Hapa mi naona wanawake ndio wangekufa wanaume tungeishi milelendiyo ageendelea kuishi kwasababu biblia inasema mkila inamaanisha wingi
Ila ni kweli mkuu...kinacho kufanya uwe na hamu sio kuona maungo hayo ila tafsiri yake kichwan kwako ndo inakupa hamu
🙂Kwanini Hawa, alipodanganywa na kula tunda la mti wa katikati.
hakugunduwa kuwa yuko uchi? mpaka alipokula na Adam...?
Je... nini kingetokea kama Adam asingekula¡
Kuna matatizo mengi ya afya ambayo ni vigumu kutambulika kwa aina ya madokta, vipimo na mifumo ya afya katika nchi zetu masikini au kulingana na kipato cha mtu.Sio demon tu mkuu, kuna mwingine anaumwa ila ugonjwa hauonekani, vp kuhusu hili....