Geza Ulole Platinum Member Joined Oct 31, 2009 Posts 76,224 Reaction score 107,847 Jun 6, 2021 #1 Hivi kati ya Account ya Msemaji Mkuu wa Serikali na ile ya binafsi ya Gerson Msigwa ipi ni ya muhimu zaidi? Mbona ya Msemaji Mkuu wa Serikali haiko verified lakini ya binafsi ipo? Ni makusudi au?
Hivi kati ya Account ya Msemaji Mkuu wa Serikali na ile ya binafsi ya Gerson Msigwa ipi ni ya muhimu zaidi? Mbona ya Msemaji Mkuu wa Serikali haiko verified lakini ya binafsi ipo? Ni makusudi au?
Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,794 Reaction score 4,883 Jun 6, 2021 #2 Hana uwezo. Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,674 Reaction score 24,331 Sep 24, 2021 #3 Ulipata majibu?