ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,235
Heshima kwenu Sana JF
.
Leo katika kumbukizi ya kifo cha MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE , kuna mambo mengi Sana natamani ni yajue
Mosi ; ikiwa tuna fahamu ya kuwa Tanzania ni nchi ambayo imetokana na muunganiko Wa mataifa haya mawili yaani Tanganyika na Zanzibar
.
Pia tunajua fika kuwa kabla ya muunganiko huu mataifa haya yalikuwa na waasisi wake ambao ni MZEE KARUME & MZEE JULIUS
.
Hapo awali nilifikiri hii sentensi ya "BABA WA TAIFA " Ipo katika nafsi ya uwingi kwa maana ya kuwa tuna baba zetu Wa TAIFA wawili
.
Lakini ajabu ni kuwa Tanzania tuna mtambua mzee nyerere pekee Kama baba Wa TAIFA hili kwanini?
Natamani wajuzi Wa mambo mnifahamishe kuhusu hili