Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 468
- 398
sikupingi ingekuwa muvi inaitwa Tanganyika NYERERE ni main character ,vivyo hivyo ingeitwa Zanzibar KARUME angekuwa ni main character , so linapo kuja suala la pamoja kwanini heshima ziwe tofauti??
Pia kuna muvi zina staring wawili (ref DOUBLE IMPACT) Ya jean claud van dame

Si umeona hata wewe umemtaja Van dame, lakini si yule pacha wake, hapo van dame ndiye main haiwezekani watu wakawa bora wote na wakalingana kila kitu.