Mr.Wenger
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 2,572
- 6,199
Rais wa kwanza wa nchi ndio huyo huyo Baba wa Taifa la nchi, hiyo ipo karibia nchi zote duniani. Hivyo Nyerere kama Raisi wa kwanza wa Tanzania ni sahihi pia kumtambua kama baba wa Taifa la Tanzania. Karume hajawahi kuwa raisi wa Tanzania hivyo hastahili kutambulika kama baba wa Taifa la Tanzania bali tutamtambua kama baba wa Zanzibar
