Kwanini 99%ya wanawake ni Wabahili?

Hizi thread za Kwanini wanawake hivi...

Kwanini wanawake hiviii zimekuwa nyingi sana aicee,
 
Asante sana #mzurimie
 
Utashangaa mwanaume anafuatilia mshahara wa mke wake hivi hamuoni aibu?
Mwanamke umemsomesha wewe, kazi umemtafutia wewe...uone aibu kujua pesa yake anapeleka wapi??? Sasa kama anahonga?? Itabidi tusaidiane majukumu..
 
Mbaili kwenye jasho langu tu.
 
Dem wangu anafanya kazi ya udaktari na hajawahi kuninunulia ata fanta.
 
kwasababu wanaakili ya kujumlisha tu hawajui kutoa...
 
Tatizo mwanaume akioa mwanamke mwenye kazi anasahau wajibu wake wa kumuhudumia hata kama mkeo anakazi inatakiwa umuhudumie.
Hapo chacha, mwanamke nyumba ahudumie, familia ahudumie sasa hiyo kaoa au kaolewa
 
Mwanamke umemsomesha wewe, kazi umemtafutia wewe...uone aibu kujua pesa yake anapeleka wapi??? Sasa kama anahonga?? Itabidi tusaidiane majukumu..
Ooh kumbe inahusu mliowasomesha sie tulisoma kwa kuunga unga, mama kafunga mkanda haituhusu lol
 
Pesa zetu ziacheni kama zilivo. Leteni zenu tuwasaidie kutumia
 
Mshaambiwa kua mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atatafuta kwa jasho..
so kutafuta na kutoa sio kaz yake we tafuta mpe ujauzito ngoma draw......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…