Kwanini 80%ya wanawake hawapendi kutumia Condom?

Kuna changamoto kubwa kwenye matumizi ya condom tena kwa pande zote yaani wanawake na wanaume na kuna sababu nyingi ikiwemo uelewa mdogo wa matumizi sahihi ya kondomu na umuhimu wake, upatikanaji wa kondomu na nyinginezo.

Kuhusu wanawake na hizo sababu ulizotoa kuna ukweli kiasi fulani lakini napingana na utafiki wako wa kusema 80% hawapendi kutumia kondomu kwa sababu zifuatazo.

1. Utafiti wako haujaonyesha ni sample kiasi gani umetumia kupata hayo matokeo. Mfano at least ungesema kati ya wanawake wangapi uliokutana nao wangapi hawakutaka kutumia kondomu.

2. Utafiti wako haujaonyesha wanawake wa kundi gani au rika gani hawapendi kondomu maana tumeona baadhi mfano wanaofanya biashara ya ngono au wanafunzi (wa vyuo au sekondari) husisitiza matumizi ya kondomu.

Hivyo mada yako nafikiri ungesema kwanini baadhi ya wanawake hawapendi kutumia kondomu kuliko kutaja kabisa kiwango kwa kuwa tu umekutana na watu kumi au kadhaa kati ya wengi.
Habari Wana jamvi,japo si mwenyeji Sana humu nimelazimika kuandika uzi huu kutokana na tafiti nilizofanya juu ya mahusiano haswa pale ambapo unakuta umekutana na mwanamke kwa Mara ya kwanza ana kwambia"baby toa hiyo inaniumiza"au "baby Toa bhana sisikii raha"binafsi nimekutana na case hizo nyingi tangu nianze kuwajua wanawake ktk maisha yangu.

Pia wenzetu hawa hawapo mstari wa mbele kusisitiza matumizi ya Kinga ,mf unakuta umepanga kukutana kimwili na mwanamke lakini Wala yy hakumbuki kukuzisitiza uende na Kinga,na Kama mwanaume hujajiongeza basi ujue utamla kavukavu,je kwa namba hii masmbukizi yataisha?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali hao wanawake ni asilimia 80%,sisi mabaharia ni asilimia 99%hatutumia ndomu fanya utafiti kwenye uzi pendwa wa kula papuchi kimasihara uone hakuna binadamu aliyetumia ndomu

Sent using IPhone X
 
Habari Wana jamvi,japo si mwenyeji Sana humu nimelazimika kuandika uzi huu kutokana na tafiti nilizofanya juu ya mahusiano haswa pale ambapo unakuta umekutana na mwanamke kwa Mara ya kwanza ana kwambia"baby toa hiyo inaniumiza"au "baby Toa bhana sisikii raha"binafsi nimekutana na case hizo nyingi tangu nianze kuwajua wanawake ktk maisha yangu.

Pia wenzetu hawa hawapo mstari wa mbele kusisitiza matumizi ya Kinga ,mf unakuta umepanga kukutana kimwili na mwanamke lakini Wala yy hakumbuki kukuzisitiza uende na Kinga,na Kama mwanaume hujajiongeza basi ujue utamla kavukavu,je kwa namba hii masmbukizi yataisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinawasha na kuchubua halafu zinachelewesha ule mda wa kuvaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna changamoto kubwa kwenye matumizi ya condom tena kwa pande zote yaani wanawake na wanaume na kuna sababu nyingi ikiwemo uelewa mdogo wa matumizi sahihi ya kondomu na umuhimu wake, upatikanaji wa kondomu na nyinginezo.

Kuhusu wanawake na hizo sababu ulizotoa kuna ukweli kiasi fulani lakini napingana na utafiki wako wa kusema 80% hawapendi kutumia kondomu kwa sababu zifuatazo.

1. Utafiti wako haujaonyesha ni sample kiasi gani umetumia kupata hayo matokeo. Mfano at least ungesema kati ya wanawake wangapi uliokutana nao wangapi hawakutaka kutumia kondomu.

2. Utafiti wako haujaonyesha wanawake wa kundi gani au rika gani hawapendi kondomu maana tumeona baadhi mfano wanaofanya biashara ya ngono au wanafunzi (wa vyuo au sekondari) husisitiza matumizi ya kondomu.

Hivyo mada yako nafikiri ungesema kwanini baadhi ya wanawake hawapendi kutumia kondomu kuliko kutaja kabisa kiwango kwa kuwa tu umekutana na watu kumi au kadhaa kati ya wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala Usiumize kichwa ..hakuna mtafiti hapa.Hoja ingekua na mashiko kama walau angesema % kubwa ya ke.Japo hoja yake kwa marekebisho yangu kidogo hayo ina kaharufu ka ukweli
 
Kama umegundua wengi hawapendi na wewe unapenda, simama na hao wachache wanaopenda! Kwa kuwa sisi hatuwafahamu hao wasiopenda, tunaomba uweke na picha zao ili tuhakiki hiyo asilimia.

USHAURI
Usirudie tena kufanya utafiti kwa kutumia uume wako peke yako! Utakuja kufa bure tukose mchango wako hapa JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom