Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
Wadau Sote Tunafaham kwa sasa Nini Kinachoendelea Ham Mjin Dsm
Kwa wasio Faham Ni Kwamba RC Makonda kuvamia Kituo cha Clouds Media Group
Tumeona watu Mbali mbali Wakilizungumzia Hili Swala
Lakin Wadau Swali La Kujiuliza Kwanin
Waziri Mwenye Dhaman Mwigulu Nchemba Kukaa kimya......??
Je Kuna Nin Kinachoendelea......??