Nae kama Bashite tu...jina LA ubatizo lingine.shule ya msingi lingine..sekondari pia ...akifungua kinywa wabongo wanamgeuzia kibaoyule mchumi grade one hawezi ku deal na utoto kama wa bashite
Wadau Sote Tunafaham kwa sasa Nini Kinachoendelea Ham Mjin Dsm
Kwa wasio Faham Ni Kwamba RC Makonda kuvamia Kituo cha Clouds Media Group
Tumeona watu Mbali mbali Wakilizungumzia Hili Swala
Lakin Wadau Swali La Kujiuliza Kwanin
Waziri Mwenye Dhaman Mwigulu Nchemba Kukaa kimya......??
Je Kuna Nin Kinachoendelea......??

Mwigulu anausoma mchezo ukikurupuka unaweza kudandia gari kwa mbele kama Nape huoni kasusiwa hata na Kituo cha tv cha serikali kilichoko.chini ya wizara yake?,Wadau Sote Tunafaham kwa sasa Nini Kinachoendelea Ham Mjin Dsm