Kwani wazungu wana nini ambacho waafrika hatuna: What is the missing link?

Akili tofauti
 
Ni kweli wao wana system na taasisi sisi hatuna hivyo vitu 2 vya muhimu
wao wanaadika historia na kuitumia kufanya tafiti sis hatufanyi
wao wana control all means communications sisi hatufanyi

Hatuwezi kuwafikia wala kujilinganisha nao

Wewe ni mmoja ta Watanzania wenye akili sana, una uwezo kuuona ukweli, hali halisi ilivyo hapa duniani leo.

Bila kujali matusi, likes; vijembe. Ukweli hatuwezi kuwafikia mpaka tubadilishe elimu yetu, tuwe na media zetu kubwa kumfikia kila mtanzania, uwezo wa kulimit ngono, gay videos video na picha kwa watoto watu wetu.
 
Hakuna anaefanya kazi halali akajenga nyumba zaidi ya 50 huyo ni mwizi nahiyo ndo hulka ya mwafrika kujilimbikizia mali yeye na familia yake na ndio sababu ya umaskini,wewe unamtetea kwa sababu unanufaika na wizi wake.
 
Huo ni mtazamo wako. Tena ni mtazamo hasi endapo unayemzungumzia kazipata Mali hizo kihalali.
Vipi kuhusu wazungu kumiliki Mali nyingi kuliko wengine, je kwao halipo hilo?
 
Mazingira ya Afrika kwa asili yanahitaji watu wanaotumia nguvu ili waishi na sio akili ndiyo maana Africans are giant and fit by nature, mabara ya weupe ni ya kutumia akili na sio nguvu ndio maana weupe ni weak and prone. Ukileta akili afrika unapoteza muda na vivyo hivyo ulaya ukipeleka nguvu unapotea. Waafrika tumenyimwa vingi ila tumepewa wanawake wenye maumbie, wa moto wanafaa sana kwa ngono.
 
Huo ni mtazamo wako. Tena ni mtazamo hasi endapo unayemzungumzia kazipata Mali hizo kihalali.
Vipi kuhusu wazungu kumiliki Mali nyingi kuliko wengine, je kwao halipo hilo?
Nitajie hapa mzungu mwenye nyumba zaidi ya 50 aliyefanya kazi serikalini nimjue mimi simjui,ukikosa wa serikali nitajie yeyote unaemfaham
 
Nitajie hapa mzungu mwenye nyumba zaidi ya 50 aliyefanya kazi serikalini nimjue mimi simjui,ukikosa wa serikali nitajie yeyote unaemfaham
Weee unielewi, nimekuuliza hao wazungu tunaosema wanafanikiwa. Je kwao hakuna bahadhi yao wenye kumiliki Mali nyingi kuwazidi wengine?
 
Weee unielewi, nimekuuliza hao wazungu tunaosema wanafanikiwa. Je kwao hakuna bahadhi yao wenye kumiliki Mali nyingi kuwazidi wengine?
Wapo lakini sio waliopewa dhamana serikalini huku wengi utaskia mwenye nyumba hizi au mashamba haya anafanya kazi TRA au mkuu wa kitengo flani,nishawahi kwenda mkoa flani nikaoneshwa mbuga na ina mpaka wanyama pori nikaambiwa hii mbuga n ya kiongozi flan ukiingia humo unakula shaba.mbona wanafanikiwa wakipata nafasi serikalin hujiulizi kwa kazi gani wanayofanya?hata hawa viongozi tulionao sasa ukianza kuwachunguza utaskia wana magorofa na mahotel wanabadili tu majina ili wasijulikane.haya mambo wenzetu waliweka sheria kali ya kuuwawa kwa watu kama hawa na zinatekelezwa ndomana wana maendeleo sisi huku tunalindana.
 
OK! Nimekuelewa, lakini suala la ufisadi na ufujaji wa Mali ya umma si huku tu Africa (japokuwa limekithiri sana Africa) hata huko kwa wazungu, Asia n.k nako yanafanyika japo si wazi wazi na kwa kufulu kama Africa.
 
Kama issue ni body size hapo umetudanganya maana wazungu wengi wana miili mikubwa tena inaweza kuwa mikubwa kuliko ya waafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…