Kwani Wayahudi waliikosea nini Dunia!.?

Kwani Wayahudi waliikosea nini Dunia!.?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,377
Reaction score
16,694
Hawa Wayahudi aka Jews waliuawa sana na Hitler. Mamia elfuu....
Wapalestina wanaua Wayahudi mpaka Leo.
Jana wameuawa huko Australia, Yani Baba na Mtoto wake wamevamia sherehe zao na kuuwa 15 wamekufa.

Shida ni nini.
Kabila hili la Yesu Kristo.?
Tafadhali
 
Yaani tokea zamani hawa jamaa wnakutana na kipigo ,, refer enzi za utawala wa farao,
 
Tatizo lao ni kujikaririsha kuwa ni wateule na kujifanya wajuaji kwa kila kitu
 
Hawa Wayahudi aka Jews waliuawa sana na Hitler. Mamia elfuu....
Wapalestina wanaua Wayahudi mpaka Leo.
Jana wameuawa huko Australia, Yani Baba na Mtoto wake wamevamia sherehe zao na kuuwa 15 wamekufa.

Shida ni nini.
Kabila hili la Yesu Kristo.?
Tafadhali
Wivu tu!
 
Wayahudi ni wataaramu kwenye manipulation. Kujiweka upande wawanaoonewa awajambo.
Wao ndio waliomba kumshtaki yesu kuuliwa utawala wa Roma kipindi cha pilato.

Wayahudi wali mkataa musa baada ya kuona kutofika nchi waliotakiwa kufika.

wayahudi ndio watu mungu ana wataka sana ila wao wamegeuza kibao.
 
Who killed Jesus??.

Sababu zipo nyingi, Moja ya sababu.

Ukristo.
Ukristo umesaidia sana kupalilia mbegu Ya, chuki kwa wayudi, Wayudi walimkataa Yesu-kristo, wakamsulubisha, wakamtundika , wakamuua,

Wayahudi wameua kristo/masihi wa bwana, Mungu.

Askofu wa sordi Melito karne ya aliyepata Kuishi Karne ya pili(180 ce, common era) huko uturuki.
Aliandika haya .

Bwana Mmoja ameuliwa, Ameuliwa wapi, sehemu gani?
Ameuliwa katikati ya Yerusalemu, kwanini, kwa Sababu aliponya viziwi, aliponya wagonjwa, alifufua wafu, kwa Sababu hizo akauliwa.

Kwanini, ooh Israel, kwanini umefanya Jambo katili na la kushangaza namna hii? Umemunvunjia heshima aliyekuheshimu, umemkataa na kumchukia aliyekupenda, umemkana aliyekutambua,

Sawa ilimpaswa kutukanwa lakini sio na wewe, ilipaswa kidharauliwa sio na wewe, ilimpaswa kusulibishwa sio na wewe.

Sasa, sikia, aliyeumba dunia sasa kauliwa, aliyeining'iniza dunia hewani sasa kanyongwa, aliyefinyinyanga vitu vyote ulimwenguni sasa kafinyangwaa.
Bwana amedhihakiwa, Mungu kauliwa, Mfalme wa Israel kauliwa na Mkono wa Israel.

Hayo ni Maneno ya askofu melito Karne ya pili Kabla Uksrito haujakuwa dini kuu na pekee katika dola la Rumi, hiyo ilikuwa ni rasha rasha, Mara baada ya Kupata rungu/kuwa dini kuu Karne ya 4 Bk/Ce na kaisari upande Wao, wakaanza kufanya kwa vitendo, Nguvu wanazo na Nia wanayo na uwezo wanao.

Karne ya 15 ,Martin Luther, "Kasisi" ambaye alijitoa kanisa Roma katoliki na Sababu zake 99, ambaye alitataka kuviondoa vitabu vya yuda, Yohana, Yakobo na ufunuo. Mwanzoni aliona anaweza kuwashawishi wayahudii katika maeneo yake wajiunge naye lakini wakamchomolea mbali, wakamkataa.

Kisha naye akaanza kuwa rushia madongo na vijembe kuwa ni Watu wa hovyo na people's evil.

Ukristo umechangia Pakubwa sana chuki, historia ya Uksrito unathibisha hilo.

Dhana ya kristo au masihi anayesulubiwa na kubeba dhambi ya ulimwengu, hawana wayahudii.

Hawana dhana ya masihi kusulubiwa, masihi/kristo ni mpaka mafutwa, aidha kuhani Mkuu au Mfalme, ni Mtu anayeongoza Taifa la Israel hapa hapa duniani na mwenye kuondoa na kuwalinda maadui wa Israel.

Yesu-kristo Kwa mujibu wa vitabu vya agano jipya alifeli, alisulubishwa na kuuliwa.

Who killed Jesus?? Romans, Warumi, warumi walikuwa Wakoloni wa yuda/Israel hakuna Mfalme Ila kaisari. Wakoloni sifa zao huwa zinahafamika.

Vitabu vya agano jipya, "injili" nne zinachochoea Pia anti Jewish, Yesu kauliwa na wayudi, walimkataa.

Kitambo hicho Bishop jangalason alitamba na nyimbo Kama kanyumba kadogo, dungwa sindano, wimbo wake wa Taifa teule la Mungu, mashairi yake aliyoyachukua katika injili nne, zinachochoea Pia anti Jewish, chuki kwa wayudi.. wasamehe wahajui walitendalo.


Sababu zinginee, zipo Hata kwa Jamii zingine, Kuna Jamii zinginee hazipendi kuchangamana sana na Jamii zinginee, wao wapo kivyao vyao, mfano ukitaka kuoa au kuolewa inakuwa kazii kweli kweli na Mambo kibao.

Pole kwa waliopoteza Maisha kwa Tukio hilo.
 
Tatizo lao ni kujikaririsha kuwa ni wateule na kujifanya wajuaji kwa kila kitu
yes! Tena wanaujinga eti wamejithaminisha juu ya binadamu wenzao! Yaani wanaenda kinyume na kauli ya mungu kuwa hatufai kuwa na kiburi na majivuno! Wenyewe wanakuambia mtoto wa kiisrael ni sawa na wasoja wawili wa kiarabu!! Kiburi hiki! Halafu hawa sio israel wa kale mkae mkijua hilo yaani ni kama wamisri wa sasa sio wale wa kale!
 
Ni utimilifu wa unabii. Tangu kale, Mungu aliwachagua Israel kuwa taifa teule. Akafanya nao maagano. Mara nyingi walikiuka maagano, na walipokiuka waliadhibiwa kwa kupelekwa utumwani. Nao walipotubu na kumlilia Mungu, aiwafanya kuwa huru. Lakini mwishoni walimkataa Kristo Masiha, aliyejifanya mtu ili awafundishe kweli ya Bwana. Tofauti na kale, kosa hilo hawajalitubia. Wayahudi, siku watakapotubu na kumkiri Kristo kama masiha, na kuupokea ujumbe wake, maadui zake wakubwa, waarabu kamwe hawataweza kumgusa. Bila shaka, kwa wakati sahihi wa Bwana, siku zaja wayahudi watamrudia na kumlilia Kristo Yesu, naye kamwe hatawaacha.
 
Back
Top Bottom