Kwani wamewakosea nini nyinyi madereva (Picha)????

Fundi_Mjasiriamali

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
748
1,329
Hata wao wanafamilia zinazowategemea, kama wewe dereva ulivyo na watoto na mke/wake/mume, vilevile hata wao wako hivyohivyo.

Tuwalinde, tuwatunze, na tuwape nafasi nyingine ya kuishi.

Samahani kwa wote ambao picha itawakwaza, nia yangu ni kuelimisha jamii juu ya viumbe hai wanaohitaji kuishi.
 
Itakuwa picha ya kuku au mbwa kagogwa halafu vitoto vinajikunyata/vinanyonya kwao respectively.
 
Asee huyo nyani kaumia vbaya na sitaki kuulizwa kuwa nimejuaje?? sabab najua wanaongelea tu ndugu yang na mwanae
 
tapatalk_1542463267100.jpeg
 
Back
Top Bottom