Kwani wakenya wana utani na haya makabila?

Kwani wakenya wana utani na haya makabila?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1408319814823.jpg
 
Ninavyowajua wakenya, ni watu wenye very deep sense of humour and ridicule kuliko mataifa yote
ya Afrika mashariki. Angalia komedi zao zilivyo kali!
 
Mbona wakenya wengi wana sura ngumu kama goti labda virse versa sura ka wana ng'ata ndimu mi sijawahi ona mkenya mwenye sura nzuri
 
Ninavyowajua wakenya, ni watu wenye very deep sense of humour and ridicule kuliko mataifa yote
ya Afrika mashariki. Angalia komedi zao zilivyo kali!

Unayosema ni kweli mkuu, mi mwenyewe huwa napita pita kwenye blog za wakenya, wale jamaa wakitoa comments wanafurahisa sana, tena ukiongeza na lugha yao, we acha tu.
 
Mbona wakenya wengi wana sura ngumu kama goti labda virse versa sura ka wana ng'ata ndimu mi sijawahi ona mkenya mwenye sura nzuri

hahahahaha ati sura kama tumengata ndimu, umenimaliza aise. hahahaha
 
Dah! mleta mada ameiburuta tokea wapi hii. Jameni sipo mimi, yaani mademu wabongo mie nawapenda tu, haswa warembo wa Tanga.

Ukifika Ngara ukawaona warembo wa huko...hao wa Tanga utawakataa!
 
Back
Top Bottom