Kwani ukimaliza chuo ni lazima uote Kitambi

Kwani ukimaliza chuo ni lazima uote Kitambi

Kweli kabisa SirChief. Vijana sasa hivi wengi wao wamekua wavivu sana. Hapo kwenye mazoezi wakikuona unafanya mazoezi wanashangaa maana wamezoea kufanya mazoezi ni kwa watu wanaotaka kupungua tu au wagonjwa.

MAZOEZI NI AFYA na yana faida nyingi mno. BIG UP BRO.
kweli mkuu vijana wengi tuna tabia ya kutopenda mazoez..Mimi huwa baada ya mishemishe huwa nakimbia jioni saa 1,sasa huwa nawaomba company vijana wahapa kitaa tukimbie nao wote wavivu..kitambi kwa kijana kibaya sana na ntakikataa milele..
 
Last edited by a moderator:
Psychological satisfaction
Pity. Kitambi si dalili chanya. Ni dalili ya mlundikano wa mafuta na wanga mwingi mwilini kutokana na utumiaji mdogo wa calories (kwa maneno mengine - uvivu). Kwa hiyo mleta mada usiwaonee ghele hao bali wasikitikie. Wako njiani kuvuna kisukari, msongo wa damu, magonjwa ya moyo, n.k.
 
Nadhani ni kutokana na kuwa stress free. Kumaliza chuo mean hakuna tena kuwaza sup, course work na stress nyingine za madesa. Kwa ujumla mwili unapata nafasi ya kunawiri. Kwa wale tuliopitia COET UDSM nadhani tumeelewana.
 
Shuguli ya 'kupaki bus na 'kutoboa' Ozone layer siyo mchezo ndo maana mara baada ya ku-graduate tuuu 'ndambile' a.k.a ' 'land cruiser' inakuja kwa kasi!
 
Mtu unashinda kulakula hovyo unadhani kitambi hutakipata??
 
Asante Mungu kwa hii siku nyingine, leo MCHUNGUZI HURU na kuja na uchunguzi mwingine.......

Vijana wengi wa kitanzania (wa kiume) yaani baada ya kumaliza tu chuo unakuta wameota vitambi, utakuta kijana ulikuwa ukisoma nae chuo alikuwa yupo kama Kagame lakini baada ya kumaliza chuo unakutana nae unaanza kuhisi umemfananisha au ni yeye. Shida ni nini wadau?

Na si ana hela, hapana, utakuta anafanya volunteering somewhere halipwi chochote hata nauli tu lakini bado kitambi kinamuota au mwingine hana kazi kabisa lakini ana bonge la tumbo. Kuna siri gani nyuma ya vitambi na kumaliza chuo?

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Mara nyingi haya mabia ya kubugia hovyo na masupu ndo sababu kubwa na pia ile hali ya watz kuwahi kuridhika mapema anapoona walet haishiwi vijisent!
 
Last edited by a moderator:
ule uji wa jamaa kuwa wana jf wote wana degree ndio unahusika hapa kila mtu anachangia hata wa chuo cha veta naye anajilinganisha na wa chuo kikuu du jf bwana kwa kupenda sifa ,kila mtu kasoma ,ana gari ana demu mkali
 
Mkuu Kote Umenikuna ILA Kwa Kumtaja Na Kumtumia Kama Mfano Hasi My Role Model Paul Kagame NIMESIKITIKA. Na Nasusa Sichangii..............( Just Kidding ). Uzi Umetulia Japo Nahisi Kama Vile Unatulenga Wengi Wetu Humu JF!


haya basi tufanye kagame ana kitambi eee

cc: mwanga lutila
 
kitambi ni moja ya ishara ya mafanikio. simple fact ni kwamba ukimaliza chuo unaanza kuzikamata pesa. angalia wanasiasa walivyo na vitambi.
 
Ukiona unaota kitambi jua uwezo wko WA kufikilu Mdogo sana!
 
Kitazidi sana ukianza kwenda na bahasha za kazi posta na kwenye interview ya u konstebo kule taifa
 
nasapoti sana kurudi kwa jkt make ukimwona mjeshi katoka depo kweli huwa nawapa nike sana,kwanza weus tii alafu wamekomaa ile ile mpaka aje apate kitambi anakuwa kaptain ama major ...serikali please peleka wahitimu wa vyuo wote jkt miezi 4 ili wakajue maana ya mazoezi vinginevyo wanaume kuwa na ------ na maziwa ni hatari sana kwa sahivi,sahivi hata kutembea dakika 10 mtu anatoka jasho kama kifaru je tutafika kweli ama ndo taifa la walegevu? tuige korea na misri lazima kupitia jeshi ili kuwa fit kiafya
 
Back
Top Bottom