kyatamato
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 387
- 269
basi rudi utotoni ..maana naona umeshindwa tembea na sisi tutakubeba mgongoni..Hapana mkuu

Bahati mbaya sana katiba inampa mamlaka rais ya kuteua na kutengua yoyote bila ya kutoa maelezo.Wakuu..
Nimekuwa nikifuatilia teuzi zilizotukuka za mh Rais..
Kama kawaida hupenda sana kujaza Academicians katika nafasi mbalimbali hasa wahadhiri wa vyuo vikuu.. Hivi Leo katika teuzi Tatu ni wahadhiri wa vyuo..
Kipindi cha nyuma niliwahi msikia Prof Mkandala akilalamikia kuhusu upungufu wa wataalam hawa pale UDSM Lakini mkuu Amekuwa akiwapangua kila kukicha..
Swali langu ni Je, vyuo kama Mzumbe, UDOM au hata Ardhi huwa havina wabobezi wa maswala mbalimbali? Kwanini hapo UDSM?
Hebu nieleweshwe tafadhali... Nataka kuelewa tu... Sina lingine!!
Ethos.
PhdWakuu..

Sio kweli, ameteua wengi tuu kutoka vyuo vingine ingawa UDSM imetoa zaidi. Tukiacha unafiki UDSM ndio Chuo bora hapa nchini.