Hivi Mulugo alishawashtaki wale wabaya wake?Wenzetu ambao mnaweza kupata taarifa toka iringa mtujuze msigwa alifanywa nini mbona kawa kimya.
Ukifika kwenu waeleze hivyo walezi wako hapa jf ni hoja tu,tangu msigwa atoke polisi sijamsikia tena why.
Hivi Wambura atagombea tena uongozi wa TFF.
Polisi wamemfunga mdomo polisi wamemfunga mdomo Bavicha hoyeeePost hii imesaidia pia kujua vijana wa bavicha ambao kazi yao ni kupindisha mada na kutukana mbona leo hamtukani au matusi yamewaishia au yawezekana msigwa ndo mtambo wa matusi kwa vile polisi wamemfunga mdomo ndiyo maana mnakosa kiongozi wa matusi.
Basi La Dar Express leo Limekamatwa mizani limezidisha uzito,,,廾0Ja mchanganyiko
Hivi zile kabichi zitaingia saa ngapi kutokea Morogoro? Nijibu mapema nijiandae...
Ukifika kwenu waeleze hivyo walezi wako hapa jf ni hoja tu,tangu msigwa atoke polisi sijamsikia tena why.
Amefanywa kama aliyofanyiwa lema arusha
Hivi hapa kuna nani anataka kusema nini!
Kuna tetesi kuwa Mwigulu leo alikunywa lita mbili za uji kabla hajaingia bungeni..naomba mlioko kwenye familia ya Mwigulu mtupe taharifa kamili kabla siku haijaisha
Hivi waliberali wanaamini kwenye nini?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Naona hii thread imekuwa soko mara kabichi, mara mhindi wa kuchoma nilijua computer yangu inachanganya madesa nika restart lakini bado! Mods naomba mwongozo wako!
Polisi wamemfunga mdomo polisi wamemfunga mdomo Bavicha hoyeee