Kwani nimekosea au?

Kwani nimekosea au?

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,553
Reaction score
35,424
mipango tu.
 

Attachments

  • 1432294926539.jpg
    1432294926539.jpg
    29 KB · Views: 570
Umekosea sana mkuu kwa bajeti hiyo investment zako utawaachia ndugu wafaidi huku wewe ukiwa umekufa. manake kwa buku inaana madem utakuwa unachukua wale wa uwanja wa Fisi utapona kweli.
 
Hahahahaa yan umeniua mbavu kwani kuna demu wa kuhongwa buku kweli na escrow yote hii
 
Eti unashangaa mtu anakufa benki kaweka milioni mia saba eti amehifadhi atatumia baadae

hii ni akili au matope ?

kuna mambo mambo mengine ni ujinga ila hatujui kama ni ujinga maana wajinga ni wengi wanashindwa kuelezana kwamba wanaofanya ni ujinga

hela yake matumizi
 
Umekosea sana mkuu kwa bajeti hiyo investment zako utawaachia ndugu wafaidi huku wewe ukiwa umekufa. manake kwa buku inaana madem utakuwa unachukua wale wa uwanja wa Fisi utapona kweli.

mkuu hapo nitakuwa makini sana
 
Back
Top Bottom