Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,251
- 44,586
Lengo ni kuwa na uhahkika 100% kushinda.. combined upinzani and CCM votes siyo kuwa upinzani hauna wagombea.laiti upinzani ungekuwa na wagombea wake...!!!
Wapi waliosoma
Wana shahada mbalimbali
Wana uzoefu wa miaka
Wana connections
Wengi wamekuwa Wabunge miaka nenda Rudi...(wamezeekea bungeni)
Sasa wamekatwa wanahaha...wameonewa..wanashangaa..wanahoji kwanini wao?
Wengine wanaenda kufyekwa na waheshimiwa wapiga Kura...
Wengine wananyenyekea wakumbukwe kwenye uteuzi..
Hivi hawana akili za kuishi nje ya Bunge na serikali? Walipohimiza wengine wajiajiri, wafanye ujasiriamali na kulima..walidhani ni kwa wengine tu? Kama Wana shahada za fani fulani so wakawe mifanooo...
Wengine eti wanahama vyama kwa vile hawakupitishwa...halafu ifike 2024 tuambiwe wamenunuliwa wanaporudi walikotoka...laiti upinzani ungekuwa na wagombea wake...!!!
Kwani ni Lazima wawe Wabunge?
Umeniwahi!Wapi waliosoma

Hakuna chama pathetic na cha kiboya kama actACT na Membe hao ndio wameanza ujinga waliufanya CDM na Lowasa 2015.
Wapi waliosoma
Wana shahada mbalimbali
Wana uzoefu wa miaka
Wana connections
Wengi wamekuwa Wabunge miaka nenda Rudi...(wamezeekea bungeni)
Sasa wamekatwa wanahaha...wameonewa..wanashangaa..wanahoji kwanini wao?
Wengine wanaenda kufyekwa na waheshimiwa wapiga Kura...
Wengine wananyenyekea wakumbukwe kwenye uteuzi..
Hivi hawana akili za kuishi nje ya Bunge na serikali? Walipohimiza wengine wajiajiri, wafanye ujasiriamali na kulima..walidhani ni kwa wengine tu? Kama Wana shahada za fani fulani so wakawe mifanooo...
Wengine eti wanahama vyama kwa vile hawakupitishwa...halafu ifike 2024 tuambiwe wamenunuliwa wanaporudi walikotoka...laiti upinzani ungekuwa na wagombea wake...!!!
Kwani ni Lazima wawe Wabunge?
Hilo mbona nilishauliza....search...sijaegesha akili mwenyewe nikaondoka...Huyu aliyechoka na anayeuona Urais ni MATESO MAKUBWA lini utamuuliza kwani ni lazima uwe Rais? Si urudi kwenu ukachunge kuku!? π³π³
Kuna watu Wana hela nje ya Bunge....kwa kufanya kazi
Yaani hawawezi kuishi na kifanikiwa nje ya Bunge?Kuzeekea bungeni haimaanishi kuwa wafanyiwe figisu kwenye chaguzi. Hakuna sheria yenye kuweka ukomo wa vipindi vya ubunge
Fellow student at EIB and ICS....juzi uliniwahi ngosha...Umeniwahi!
Hata mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo!
Hili ndio tatizo la kukariri ID ya mtu na kuamini unajua misimamo yake. Yaani Siamini hata kama umesoma na kuelewa jamaa kaandika nini!Angalieni MPUUZI mwingine huyu aliyejitoa ufahamu. Kwani yesu wa lugola ni lazima agombee tena lazima awe Rais mbona ANAWEWESEKA sana? π³π³π³