Kwani ni lazima unywe bia ?

Kwani ni lazima unywe bia ?

Wewe size yako ni thread za siasa huku kwenye bia sio size yako kakojoe ukalale pumbavu kabisa hata ikiuzwa chupa 5000 tutakunywa unataka Nchi ikose pesa ya kuiendesha!!?
 
Watu wanalalamika sana eti bia zimepanda bei kutoka TZS 1,500 mpaka 1,700 ( na mahala pengine 2,000). Nawashangaa sana.

Ni lazima unywe pombe ? Pombe ni hitaji muhimu kwako ?

Kwanini usiache tu kunywa pombe ukawa unagida maji yako ya kawaida kwa afya yako ?

Pombe siyo muhimu jamani, tunywe maji tu ya kawaida!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiacha kunywa tz ya viwanda itakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hawawezi kutongoza mpaka wanywe pombe. Hawa unataka wapate mabibi wapi ?
Ma barmaid wangepataje wateja yaani mabuzi kama sio pombe.
Bibi mdhibiti mumeo acha kuingilia mambo ya watu
 
Watu wanalalamika sana eti bia zimepanda bei kutoka TZS 1,500 mpaka 1,700 ( na mahala pengine 2,000). Nawashangaa sana.

Ni lazima unywe pombe ? Pombe ni hitaji muhimu kwako ?

Kwanini usiache tu kunywa pombe ukawa unagida maji yako ya kawaida kwa afya yako ?

Pombe siyo muhimu jamani, tunywe maji tu ya kawaida!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyea bia ndio walipa kodi wakubwa nchini. Kwa hiyo unahamasisha watu wasilipe kodi ?
 
Kunywa pombe kunategemea mambo mengi. Kwenye vikao vya pombe kunakuwa na maongezi yenye faida mara nyingi.

Rafiki yangu ni financial analyst anasema waters wake wengi hukutsna nao hotelini au bar na unywaji wa pombe ni sehemu ya kazi. Hata akiwa kwenye job interview huulizwa sealing hili kama anakunywa . Yeye si mlevi hivyo inabidi akae na glass ya wine masaa matatu
 
Watu wanalalamika sana eti bia zimepanda bei kutoka TZS 1,500 mpaka 1,700 ( na mahala pengine 2,000). Nawashangaa sana.

Ni lazima unywe pombe ? Pombe ni hitaji muhimu kwako ?

Kwanini usiache tu kunywa pombe ukawa unagida maji yako ya kawaida kwa afya yako ?

Pombe siyo muhimu jamani, tunywe maji tu ya kawaida!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa na matatizo ya afya ya akili
 
watu tuko kwenye mswada wa kuruhusu bangi we unaturudisha nyuma kwenye pombe
 
Back
Top Bottom