Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,279
- 51,700
Watu wanalalamika sana eti bia zimepanda bei kutoka TZS 1,500 mpaka 1,700 ( na mahala pengine 2,000). Nawashangaa sana.
Ni lazima unywe pombe ? Pombe ni hitaji muhimu kwako ?
Kwanini usiache tu kunywa pombe ukawa unagida maji yako ya kawaida kwa afya yako ?
Pombe siyo muhimu jamani, tunywe maji tu ya kawaida!
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Timotheo 5:23
23 Usiendelee kunywa maji,*bali unywe divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na ugonjwa wako wa mara kwa mara.