Kwani nani kazaliwa na Baba!!!!!

Kwani nani kazaliwa na Baba!!!!!

BIG X

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
777
Reaction score
212
Kuna watu mtaani huwa sometime wanakera sana, mkianza kubishana au kubishana kidogo ataanza ooh we mtoto wa mama nini!!, au we toto la mama!!. Sasa anaposema hivi anamaanisha nini, kila mtu si kazaliwa na mama!!, kwani mtu unaweza kuzaliwa na mama peke yake!!, Halafu isitoshe Mama ni mama ila Baba anaweza asiwe Baba yako.
 
Wananikera mimi.....bora hata umewaambia....kila mtu mtoto wa mama....lol
 
hata mimi sipendi,inaonekana ni dharau.kwani mtoto wa mama na wa baba tofauti yao ni nini?
 
hata mimi sipendi kama nini
lakini mara nyingi haya ni maneno ya wahuni wa mtaani,
huwa hayana maana yoyote.
 
Kuna watu mtaani huwa sometime wanakera sana, mkianza kubishana au kubishana kidogo ataanza ooh we mtoto wa mama nini!!, au we toto la mama!!. Sasa anaposema hivi anamaanisha nini, kila mtu si kazaliwa na mama!!, kwani mtu unaweza kuzaliwa na mama peke yake!!, Halafu isitoshe Mama ni mama ila Baba anaweza asiwe Baba yako.

Mkuu hapo kwenye red hapo...
Haiwezekani uzaliwe na mama peke yake;bali lazima muunganiko wa yai na mbegu ya kiume vitokee!
Kwa mantiki hiyo hakuna mtoto wa mama wala wa baba bali wa baba na mama!!!
 
Anayedai fulani ni mtoto wa mama, inabidi afafanue kutujuza kuwa yeye siyo mtoto wa mama. Ina maana baba yake alilala na ng'ombe akamzaa yeye. Hata hivyo itabidi bado ataitwa mtoto wa mama japo amezaliwa na ng'ombe. Baba hawezi kuzaa bila mama, kadhalika mama hawezi kuzaa bila baba.
 
Anayedai fulani ni mtoto wa mama, inabidi afafanue kutujuza kuwa yeye siyo mtoto wa mama. Ina maana abba yake alilala na ng'ombe akamzaa yeye. Hata hivyo itabidi bado ataitwa mtoto wa mama japo amezaliwa na ng'ombe. Baba hawezi kuzaa bila mama, kadhalika mama hawezi kuzaa bila baba.

Hahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
wanamaanisha wewe ni legelege.Nalog off

Kwa hiyo akiwa legelege ndiyo wa mama? Pamoja na Contribution aliyotoa yule mama kwanini adharauliwe? Kwanini tunawa undermine mama zetu? This is absolutely not fair regardless of their contribution and african tradition.
 
Kuna watu mtaani huwa sometime wanakera sana, mkianza kubishana au kubishana kidogo ataanza ooh we mtoto wa mama nini!!, au we toto la mama!!. Sasa anaposema hivi anamaanisha nini, kila mtu si kazaliwa na mama!!, kwani mtu unaweza kuzaliwa na mama peke yake!!, Halafu isitoshe Mama ni mama ila Baba anaweza asiwe Baba yako.

nadhani mara nyingi hii ni kumaanisha kuwa wewe (mtu) ni anadeka kwa mama sana au analelewa baddo kama mtoto kwa hiyo huwa inajionyesha mara nyingi kwa maongezi yako najaribu kutafuta swahili fasaha niandike nashindwa

kwa hiyo na hiyo avatar yako inaonyesha unamawazo ya ki baby so unauliza nini, waonyeshe umekua mtu mzima achana na kudeka na kuact kitoto

badili avatar yako iwe ya kiutuuzima basi sio baby dancing ambavyo ndivyo ulivyo

ukweli unauma jibadilishe mama's baby
 
Sawa bwana inaelekea wewe umezaliwa na Baba!! Duh!!!!
 
Back
Top Bottom