Ndio mimi mtoto wa mfalme wa tanzania munataka nini au ndio munataka kuona navyomiliki? Ebos
Anaonekana pure limbukeni kama mzazi wake. Hata kama ni mfalme wa kiza bado kuna siku anaweza kuwakumbuka akina Seif al Islam Gaddafi ambao sasa wananyea debe. Ni suala la muda kufaidi huu ufalme wa kipuuuzi. May you perish and all of your clan and honchos?
Mwanangu Pindima wewe kweli pimbi. Ushamba na chuki unavijua au kujikomba tu? Ushamba ni kusema ukweli? Kama ni hivyo basi mie mshamba wewe mbustani kumbaaaff maffi ya kuku we.
Pindima bin pimbima, kwani wewe hutazeeka? Kama hujui kuwa uzee ni heshima muulize baba yako.
Kwa nikusomavyo Pindima kama umerithi kwa baba yako basi wote ni hasara zaidi ya balaa.
hahaha wapotea hivyo.