Kwani Mnasemaje?

Duuh sijaelewa unasubiri chaiau dina au ulikua unataka tuu upigwe picha
 
Muulize atarudi lini China? Hahahahaaaaaa!
 
Hiv jk aliishia wapi na majina ya wauza madawa ya kulevya kama vp aongezewe jingine(ridh2) Dah !asante kwa serikali ya China tumejua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…