ISACOM
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 546
- 416
Mapenzi yamekuwa mada kuu kila kukicha,mara flani kachinjwa,mara mwingine kanywa sumu,mwingine kajirusha kutoka ghorofani.
Sasa jamani kwani lazima kuwa na mpenzi....Epuka hayo majanga badilika,yapo mengi ya kufanya..Mapenzi sio lazima
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums