KERO Kwani mamlaka jijini Arusha hazioni mashimo barabarani Mataa ya Esso hadi Kona ya Nairobi? Yanachangia foleni

KERO Kwani mamlaka jijini Arusha hazioni mashimo barabarani Mataa ya Esso hadi Kona ya Nairobi? Yanachangia foleni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Arusha, kipande cha barabara kuanzia Mataa ya Esso mpaka Kona ya Nairobi kina mashimo makubwa yanayopelekea foleni na hata muda mwingine ajali! Ni muda sasa mamlaka zimekaa zinaangalia tuu.
1773473934853.jpeg

1773473954288.jpeg

1773473975118.jpeg

1773473996661.jpeg
 
Back
Top Bottom