Hivi Kwa nini madereva wa vibebiwoka wana vurugu sana barabarani? Ni ugeni wa gari au sms(short man syndrome)?
Wengi wenye hizo gari ni madereva wapya.Vigari vidogo na ugeni wa gari wapi na wapi? Kwaio wenye ma big woka magari yao yote NI ya zamani? Wabongo bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe na carina yangu huwa nawapisha hawa jamaa wa I.s.t na passo wapite maana wengi wao ni wafanyakazi ambao wamepata magari kwa mikopoLigi kwa cc900?
Mwenyewe na carina yangu huwa nawapisha hawa jamaa wa I.s.t na passo wapite maana wengi wao ni wafanyakazi ambao wamepata magari kwa mikopo
Carina toka lini umeiona inafanya league barabarani?. Tufanye safari ya mbeya-dar na ist yako mimi na carina yangu utaiona itakayochemsha njianiHamchekani na hao baby walkers maana hata Carina yenyewe kwny mambio ni hamna kitu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
🤣🤣🤣😂Kuna jamaa anamiliki kiprado anavyoendesha mabega yote yapo nnje
Carina toka lini umeiona inafanya league barabarani?. Tufanye safari ya mbeya-dar na ist yako mimi na carina yangu utaiona itakayochemsha njiani
Mtu anayejua magari lazima ataheshimu carina au collora
Carina si mbaya...usipokuwa makini inakuachaHahah IST/Carina/Collora tena?No wonder baby walker zinaendelea kuku-challenge huko barabarani.
Sent from my iPhone using JamiiForums
jibu ni bHivi Kwa nini madereva wa vibebiwoka wana vurugu sana barabarani? Ni ugeni wa gari au sms(short man syndrome)?
Waendeshaji wa magari kama premio,carina,corrolla,spacio na allion hawana league na mtu barabarani sisi sikuzote tunapenda tufike safari zetu salama lakini wenye I.s.t na passo ni mapepe barabarani na wengi wao ni wageni wa magari na bado hawajui kuendesha vizuri magar yaoCarina si mbaya...usipokuwa makini inakuacha
Carina si mbaya...usipokuwa makini inakuacha