Kwani lazima kila weekend jamani?


Hatushauri wazinzi hapa...oa
 
una bahati weye kila wkend tuu!!! wenzako wanakamuliwa daily kutwa mara tatu kama dozi ya panadol
 
Hatushauri wazinzi hapa...oa

hahaha...bahati mbaya hiki ni kizazi cha wazinzi, ukubali ukatae hiyo ndo hali halisi..Huoni wenzako wanatoa ushauri tayari!! Mpe mwenzako ushauri bwana!!
 
eeeh kweli watu tunatofautiana....mi ningekufurahia kweli na huo ubusy wako...
Vaislay, Mimi sijakuelewa..ungefurahi kuwa huru kuchepuka? Ungefurahi kuwa hutalala nae? Ungefurahi nini hasa!
 
Last edited by a moderator:

hahahahhahaaaaaa u have made my morning, aisee nimecheka saana lol
 
Wanawake wengine wanadhani huku ndo kukaba lol kumbe unajichosha bureee!
 
au huwezi kazi wewe......we chezea bahati tu
 
Wakati kuna wadada wengine mpaka uwabembeleze angalau mara mbili kwa wiki wewe mara moja kwa wiki unashindwa?
Utakuja kumegewa na wenzio kiulaini kwa uvivu wako.
 
Yani wiki hadi wiki....
Afu kidume unalalamika kabisa, pole meza vitamin B zinaongeza hamu ya chakula
 

Tumechoka kusoma mada za kipuuzi kama hizi. Haya ni maswala yako binafsi. Hayatuhusu kabisa. Kama huna mada ya maana, soma michango ya wenzako. Hayatuhusu.

 
wenzio wanalilia wewe wajifanya bize eeeh wataendelea kuchukua hamsini zao hivo hivo
 
Tumechoka kusoma mada za kipuuzi kama hizi. Haya ni maswala yako binafsi. Hayatuhusu kabisa. Kama huna mada ya maana, soma michango ya wenzako. Hayatuhusu.


pole sana mkuu, wala hujalazimishwa kusoma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…