Kwani lazima iwe Simba, Wambura si aende kwingine?

Kwani lazima iwe Simba, Wambura si aende kwingine?

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
Nimeshangazwa na Wambura kunyanyasika kiasi hiki hadi kudhalilishwa na bado anaendelea kuitisha Mikutano na wanahabari,Kama ni kweli anapenda mpira kuna timu zinahitaji Viongozi kama Mbeya City kwanini asiende kule akaungana na growing team kuliko kuteseka namna hii?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbeya City hawataki Wanawachama wasumbufu,labda aende Yanga kwani wanaendana tabia.

Halafu huyu Wambura anajishughulisha na nini kinachomuingizia kipato?
 
Me namshauri kama kweli anauchungu Na soka LA tz ahanzishe timu yake
 
Nimeshangazwa na Wambura kunyanyasika kiasi hiki hadi kudhalilishwa na bado anaendelea kuitisha Mikutano na wanahabari,Kama ni kweli anapenda mpira kuna timu zinahitaji Viongozi kama Mbeya City kwanini asiende kule akaungana na growing team kuliko kuteseka namna hii?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Umeambiwa Mbeya City ndio wanahitaji uchuro? Akagombee kwao huko Mara!
 
Kuna timu ya maveterean wanacheza kila jumamosi asubuhi pale ardhi hawana mwenyekiti...aende akagombee pale. Au kama vipi udiwani uchaguzi lini kwani?
 
Ndo maana mpira wa bongo utabakia hapa hapa.. Ni fitina za kijinga.. Watu wanagombea uongozi kujinufaisha wao..
 
watu wang'ang'ania Simba na Yanga sio sababu ya kuzipenda wanamasilahi yao mengine zaidi ya mpira
 
Aliyekwambia Mbeya city hakuna uongozi nani? Nani kakwambia Mby city wanataka makapi na wachumia tumbo? Acha wafie hukohuko wasiende kuchafua hali ya hewa timu zingine hata kama ni za daraja la 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom