Kwani lazima application nifanye TCU?

Kwani lazima application nifanye TCU?

HGL yaani unapata E flat maajabuuu wakat enzi zetu tulikuwa tunawaita Lori la chuo hao lazima waende 2
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dogo unazngua tena sanaaa.
 
Dogo mwambie baba yko tajiri akupeleke india china au Malaysia huko wabongo kibao ukawe brazamen bongo imebadilika..
 
Kw hzo Alam zako hata nje hupat chuo labda utumie chet ch olvl nasijui hio nayo umescore vp
 
Back
Top Bottom