Jamani naomba msaada mimi nimepata E flati HGL nataka kwenda degree vp naweza kufanya application bila TCU?
Kama naweza, inaweza kuwa shilingi ngapi kutoa ili nifanikiwe kwa sababu baba yangu hana hela sana toka naanza chekechea hadi advance nimesoma private so sizani kama atashidwa hiyo hela yakufanya application bila TCU