Kwani kuolewa ni jambo kubwa sana?

Kwani kuolewa ni jambo kubwa sana?

Mimi naona ni kitu cha kawaida. Mtu kama ameolewa ni sawa na kama hukuolewa ni sawa na haina haja kupanic ati umri unaenda huolewi.

Ndoa ni kama vitu vingine tu chukulia mfano umasikini na utajiri. Si watu wote ni matajiri na si watu wote ni masikini. Na ndoa ndio ipo ivo si kla mtu atakuwa nayo.

Mimi naishi na dada mmoja tuasoma chuo kimoja ni roommate wangu. Ila yeye ni doctoral student mwaka wa pili. Ni raia wa marekani. Ni mtu mzuri ila kama hayuko sawa kisa mpk sasa ana miaka 31 hajaolewa. Hapa chuo kunakuwa na seminars mbali mbali basi kila seminar anaenda ati anaweza kupata mume hko kwa wiki anaenda km seminar tano au nne. Hatulii sehem moja. Haijalishi inafanyika wapi yeye huyoo anaenda hadi mama yke anampigia simu ati "uende unaweza ukapata mume hko. Tena ukienda uwe smart na ujirembe"

Kuna siku nime muuuliza kwann ameweka sana kwa kichwa chake habar ya kuolewa akanijibu " wewe Subiri ufike umri kama wangu halafu uwe hujaolewa utajua" LOL

Kuna siku alinilazimisha tuende wote nikaenda baada ya hapo sikuenda tena kwasababu sio mambo naendana nayo. mimi nani seminar nani? Vitu vi2 tofauti. Hatuendani mimi niliona hakuna kitu cha maana kinafanyika hko. Wanaongea tu kisha wamemaliza tukaondoka hazina hata umuhimu kupoteza muda tu.

Hv kna haja ya mtu kujistress kisa huolewi? Mimi naona kama ni ujinga kujistress na kitu ambacho kiko nje ya uwezo wako, maisha yenyewe mafupi haya btw mimi mwenyewe nategemea nikifika miaka 25 niwe na familia yangu lakini hata kama itatokea nikifika miaka 30 bla kuolewa siwezi kujistress hata kidogo.
Kuna dada amezaa tu Ila hajaolewa na anamaisha mzur anajiweza kwa kila kitu bt Kuna cku alisema nataman sna nipate mwanaume wa kuish nae hata Kama Hana kitu mwanaume ana nafasi yake kubwa katika maisha ya mwanamke Yan Kuna kipind hata ucpo sema adharan lakn moyon ipo hyo unataman angekuepo maana haya maisha ya upande wa pil n Zaid ya sex huyo Dada unaesema Yuko sahihi kabsa alaf pia wale wataalum wa kudadavua Mambo hapa unaonyesha uko kweny stress Kali na njia yako ya kuzpinguza n kujifarij hv
 
Usipoolewa Maana Yake Hutazaa ?

Ukizaa Maana Yake Utazaa Shaghalabagala Mpaka Na Waume Za Watu Au Vibaka Tu.

Hakuna Mtu Asiyependa Kuwa Na Familia Bora, Yenye Nguvu Na Heshima. Zingine Mbwembwe Tu.

Maisha Bila Familia Ni Ya Upweke Sana And So Boring Na Kila Utakachokipigania, Hutakiona Kama Kina Thamani Yoyote
Kwel kabsa Yan tatzo tukikutana wote jua lishazama tunadanganyana sna
 
Back
Top Bottom