Kwani kuolewa ni jambo kubwa sana?

Uzuri wa JF unaweza kupinga hoja fulani kwa ID hii,ukaenda kuikubali kwa ID nyingine.....i mean unaweza kuta mleta mada yuko na ID yake nyingine anashinda kule love connect kutafuta mwanaume yoyote mwenye 'em bii o o'
Kutafuta mwanaume kwa internet? Kwan ninapoishi hakuna wanaume mpk utafute watu wa internet wnywe hawajulijan km ni watu kweli au mazombi πŸ˜‚
 
Wewe tukana mamba, wenzio wanaiendea ndoa kwa mganga shauri yako, muhimu ubakize maneno maana kuna siku utarudi hapa kutafuta mme.
 
Ukiwa una mtu unafanyanae sex, hakuna haja yakusema hujaolewa,,
Within 3months tu serikali inahesabu tayari hiyo ni ndoa.
Mbona watu weng wanasex na hawajaolewa au kuoa? Wewe unaishi jupiter nn?
 
Mwanamke akiwa ameolewa inamuongezea HESHIMA...Ebu fikiria upo above 30 bado unakaa kwenu hauoni aibu m/ke?
Vipi kama una kipato chako na unajitegemea?
Wakati mwingine kuolewa kunamdhalilisha mwanamke.

Kwa mfano, aliyeolewa na mwanaume malaya ambaye anatembea na majirani, wasichana wa kazi hadi ndugu.... Kazalisha mtaani wanawake wawili watatu..

Aliyeolewa na mwanaume mnyanyasaji..

Aliyeolewa na mwanaume mpigaji, Kupigwa hadi kuzimia, kupata majeraha, kupata kilema au kufa kabisa....

Mleta mada anamaanisha kwamba mwanamke asijione kama nusu mtu kisa hajaolewa..
 
heshima kubwa ya mwanamke ni ndoa bt heshima kubwa ya mwanaume ni pesa...
muda huo alokwambia ukikufika ndo utajua alimaanisha nini
 
Kumbe wewe Bado ni mwanafunzi?😜😜😜

Fikiria kusoma kwanza achana na mambo ya kuolewa
 
Ndoa baraka

Au unataka kua Single maza/msimbe
 
Unajuaje labda sitokuwa km yeye. Kla mtu ana destiny yke
Yes wapo watu ambao hawajaolewa na wanasonga na maisha.
Its possible jipange ivyo but uwe firm on what you stand for maana loneliness nayo sometimes unaweza jihisi kiumbe tofauti hatiamae ukaanza kudanga na uku umri umeenda utakuwa kituko
 
Dada na shida na wewe muhimu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…