Kinyengeli
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 452
- 143
Kisa cha kweli, ni mshikaji wetu twashirikiana kwa mengi. Yupo ndoani yapata miaka zaidi ya kumi. Miaka ya mwanzoni mambo yalikuwa mswano, lakini sasa mchizi anajuta.
Kiaina sio kwamba ana life tafu la hasha, vimijengo kadhaa kausafiri kakumsogeza hapa na pale amejaaliwa, upande wa sabuni ya roho si haba, mke mzuri lakini kuna nini!??
Mwanzoni ndoa ilikuwa poa, mtoto wa kwanza na sasa wawili mambo yameanza kulegalega.
Shemeji yetu hana stimu, sasa wanaishia kimoko yapata 3 years, awali walidhani labda hormones zimevurugwa na uzazi wa mpango wa kisasa lakini kumbe sivyo, du, sasa tatizo nini!??
Haki yake kupewa mpaka apende yeye,mchizi kama maji yanamfika shingoni!!, maana hata akipewa stimu zinakata mwisho kimoko, atawezaje kuendelea wakati hakuna respond kutoka upande wa pili,!??, alihisi ana upungufu wa nguvu, kaliacha buyu la asali yake kachovya buyu la jirani, maajabu kwake kachovya Mara tatu zaidi bado anajiuliza tatizo nini!!?? Tumemshauri achunguze labda anasaidiwa, kazungumza na buyu lake majibuye hakuna tatizo, changes Siku mbili au tatu mwendo warudi vile vile.
Namuona akijaribu kufanya maamuzi magumu, anataka kuiasi ndoa yake japo dini haimruhusu, anataka kuongeza buyu jipya la asali maana amechoka kuvumilia, je! Tatizo litapungua kama sio kwisha kabisa!? Yetu macho tafadhali waungwana tumsaidie kwani kuna nini!!!???? Alamsiki