Kwani kuna nini huko instagram?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,461
Nimetoka zangu kwenye mitikasi ya town,bize tangu asubuh sijapata hata nafasi ya kuwasha data.
Sa nikasema ngoja niingie mitandaoni baada ya kutulia jioni hii,ile nazama Instagram nakutana na post za maua kila page mekundu,meupe,ya njano,pink,meusi nikajiuliza kuna nini? Mbona fujo za post za maua zimekolea sana?
 
utasikia ni maandalizi ya wema kuolewa na diamond!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama rais wako anacoment na kulike kwenye page ya Udakutz we ni nani wa kujifanya hufatilii instagram Kyumar Khan!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
jeusi penzi kuchacha jekundu penzi limekuja jeupe penzi halina dosari hii wema kaifanya leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…