mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,376
- 3,892
hata sisi wanaume, wanaume wenzetu wa tabia hiyo tunawaona wajinga sana
amejuaje namba yako ya simu?Aiseee mimi wanaume wengi mnanishangaza sana sijajua mnatuchukuliaje sisi wanawake kwamba tu warahisi sana ama
Nishakutana na hayo mavitu mpk ninachoka hivi kuna ulazima gani wa kulazimisha mawasiliano na mtu ambae hataki
Unakuta mtu unatuma sms hujibiwi unaendelea kutuma haitoshi unapiga na simu kila saa napo nikipokea badala uongee ulichotaka kusema unaniuliza et kwanini sijibu sms zako
Mwisho wa siku mnatuona wanawake tunadharau kisa hatujibu sms zenu
Ubaya zaidi unakuta namba sikukupa umetoa kwa mtu… sijakataa kwamba msitutafute kinachoboa ni kwamba hizo sms mnazotumatuma halafu namba ngeni mimi sikujui unanipigia tu unaniuliza mbona hujibu sms kwani uliniwekea vochaa
Halafu mwanaume serious hawagi hivo ni matapeli tu hawa kiukweli hii tabia inanikera
Mtu kunitumia tumia sms mambo mambo hello hello kila dakika kama mtu hujibiwi sms ya kwnza si unavungaa
View attachment 2704718
View attachment 2704719
View attachment 2704720
View attachment 2704721
ni kweli upunguze zarau bebiAiseee mimi wanaume wengi mnanishangaza sana sijajua mnatuchukuliaje sisi wanawake kwamba tu warahisi sana ama
Nishakutana na hayo mavitu mpk ninachoka hivi kuna ulazima gani wa kulazimisha mawasiliano na mtu ambae hataki
Unakuta mtu unatuma sms hujibiwi unaendelea kutuma haitoshi unapiga na simu kila saa napo nikipokea badala uongee ulichotaka kusema unaniuliza et kwanini sijibu sms zako
Mwisho wa siku mnatuona wanawake tunadharau kisa hatujibu sms zenu
Ubaya zaidi unakuta namba sikukupa umetoa kwa mtu… sijakataa kwamba msitutafute kinachoboa ni kwamba hizo sms mnazotumatuma halafu namba ngeni mimi sikujui unanipigia tu unaniuliza mbona hujibu sms kwani uliniwekea vochaa
Halafu mwanaume serious hawagi hivo ni matapeli tu hawa kiukweli hii tabia inanikera
Mtu kunitumia tumia sms mambo mambo hello hello kila dakika kama mtu hujibiwi sms ya kwnza si unavungaa
View attachment 2704718
View attachment 2704719
View attachment 2704720
View attachment 2704721
Huna lolote wewe kaa kutulia unasumbuliwa na watoto sio wanaume, mwanamume hafanyagi huo ujinga unaosemea ila watoto wa kiume wa rika loloteAiseee mimi wanaume wengi mnanishangaza sana sijajua mnatuchukuliaje sisi wanawake kwamba tu warahisi sana ama
Nishakutana na hayo mavitu mpk ninachoka hivi kuna ulazima gani wa kulazimisha mawasiliano na mtu ambae hataki
Unakuta mtu unatuma sms hujibiwi unaendelea kutuma haitoshi unapiga na simu kila saa napo nikipokea badala uongee ulichotaka kusema unaniuliza et kwanini sijibu sms zako
Mwisho wa siku mnatuona wanawake tunadharau kisa hatujibu sms zenu
Ubaya zaidi unakuta namba sikukupa umetoa kwa mtu… sijakataa kwamba msitutafute kinachoboa ni kwamba hizo sms mnazotumatuma halafu namba ngeni mimi sikujui unanipigia tu unaniuliza mbona hujibu sms kwani uliniwekea vochaa
Halafu mwanaume serious hawagi hivo ni matapeli tu hawa kiukweli hii tabia inanikera
Mtu kunitumia tumia sms mambo mambo hello hello kila dakika kama mtu hujibiwi sms ya kwnza si unavungaa
View attachment 2704718
View attachment 2704719
View attachment 2704720
View attachment 2704721
amejuaje namba yako ya simu?
ni kweli upunguze zarau bebi
Halafu muandika msg anaonekana ni minor angalia usije ukapata kesi ya kubaka...
Sawa tumejua unatumia iPhone, ni iPhone ngapi ?View attachment 2704729
Huna lolote wewe kaa kutulia unasumbuliwa na watoto sio wanaume, mwanamume hafanyagi huo ujinga unaosemea ila watoto wa kiume wa rika lolote
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nowadays uanaume is not about age, but maturityKwani wanaume ni umri ganii labda nijuee maana kuna mibaba ya wenyewe inanisumbuaa
Huyo mkaka ni kwamba humtaki tu, haujavutiwa naye kimapenzi, pamoja na kukukaushia barabarani na kukusumbua kwenye simu, ungekua unampenda, hapa story ingekuwa tofautisasa mtu unakutana nae barabarani hakusemeshii tena anakupita kama mshale halafu kwrnye simu anasumbua watu
Halafu anakwambiaa unaringaa
ndio mkuu mwanamke ana haki ya kukukataa, mapenzi hayalazimishwiHuyo mkaka ni kwamba humtaki tu, haujavutiwa naye kimapenzi, pamoja na kukukaushia barabarani na kukusumbua kwenye simu, ungekua unampenda, hapa story ingekuwa tofauti
Huyo mwanaume huenda akawa sio tapeli, huenda yupo serious na ana nia nzuri na wewe, ila kwasababu huna hisia nae na wanawake mnapendaga kukompliket mambo, hizo factors zinakupofusha usione userious wake kwako, mm nshawahi kuwa kwenye viatu vya huyo jamaa unae-chat naye..
Kuna wadada wawili hapa mtaani nilichukua namba zao toka kwa marafiki zao wa karibu, kwenye kuchat walinijibu vibaya na matusi nikatukanwa juu, ilhali kiukweli nlikuwa na nia nzuri nao..
Factor hapa ni kwamba we humpendi huyo jamaa ndio maana unamuona msumbufu
mamamzungu