Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,298
- 3,037
Hapo kwenye kupiga kura tupo pamoja nilishaapa sitakuja kupiga kura tena kamwe
Nilishindwa pia kwa vile hakuwahi kuwa Waziri wa Fedha. Kiukweli alikuwa Naibu Waziri wa Fedha. Asante kwa hilo.Basi samahani mzee ila nashungwazwa sna kuto kujuwa kuwa Jeremiah sumari amepata kuwa waziri wa fedha
Wapo wanaowaoa sana tu sikuhizikule umasaini kuna wamasai wameoa waswahili ila sijawahi kuona mswahili kaoa mmasai, japo wanawake wa kimasai huwa na wapenzi wa kiswahili ila linapokuja suala la kuoa itakuwa shughuli pevu kukubaliwa na jamii hiyo
Wameru bira ng'ombe ni sawa na tv bila king'amuzi maziwa yanayotumika arusha yote yanatoka Meru fahamu hilo huwez kuta nyumba ya kimelu arusha haina ng'ombekabil
Umeambiwa ni masai, unachimbua asili ilkusaidie nini. We asili yako ni kabila gani. We umeona wapi wameru ni wafugaji. Acha ushambenga.
Haiwezekani binadamu wote wakafanana.Kusubiri hilo liwe au litokee ni ujinga.Badilika.Hatutapata Mwanasiasa Mtulivu kama Edward
Kapigwa madongo na katukanwa sana na watu wa pande zote za Siasa lakini alisalia kimya akipiga Siasa zake kimya kimya kwa mikakati na kudumisha umaarufu wake pamoja na kashfa zote zilizomuandama
Akina Lissu na Zitto wajifunze …Siasa sio uwezo wa kuongea tu
LOWASSA hawezi kuitwa Hayati, huyo ni marehemu tu inamtosha! Neno hayati lisitumiwe vibaya!Hayati Lowassa alizushiwa kuwa siyo mmasai Wala nini. Ni mtu kutoka kabila la Wameru wanaopatika Arumeru Magharib yaani huko, USA, tengeru, Maji ya
Duh bas itakuwa. Nimessahau KbsaNilishindwa pia kwa vile haikuwahi kuwa Waziri wa Fedha. Kiukweli alikuwa Naibu Waziri wa Fedha. Asante kwa hilo.
Waulizwe admin wao ndio wameandikaLOWASSA hawezi kuitwa Hayati, huyo ni marehemu tu inamtosha! Neno hayati lisitumiwe vibaya!
Sahih kbsaamimi ni mmeru. mmoja wa watoto wa mdogo wake lowassa anayeishi mbweni - dar ni rafiki yangu, mpaka alipokwenda masomoni SA tukapotezana. anachosema mwenyewe wao ni wamasai ila bibi yao ni mmeru.
jamii ya meru na masai ina muingiliano mkubwa.
Lowasa ni mmeru aliezaliwa monduli,mama yake mzazi ndio mmasaiHV alikuja kuficha wapi sura yake
Kuna tabia moja kwa wamasai wasipendane kabsa imagine sendeka anamuaribia lowasa na kumuita mmeu wkt siyo kweli
Wazaramo wamekukosea nini?kwa mila zenu atakuwa mmasai ila vinasaba ni mmeru tuNi kweli , kwa mfano mila za huko unataka kuwa na mwanamke ambaye anamtoto mdogo, yule mtoto atapokelewa na jina atabadilishwa la ubini
Kwa mfano alikuwa anaitwa Sebastian Magufuli
Tukimpokea atakuwa Sebastian Msaki…… hilo jina litasoma hadi kwenye vyeti
Ipo ivo. Mtoto kwetu ni Asset , hayo mengine baake nani mtabaki nayo wazaramo
Akishatiwa pin kwenye ubini automatically hata huyo babake mzazi kwenye benefit will never appear. Baba wa kweli akiambiwaa alete cheti cha kuzaliwa kupata benefit za mtoto , baba mzaz hatoboi
Nitapeleka mm baba mlezi ndio mwanangu
Kama mm ni Ndesaruo Msaki
Mtoto atakuwa Sebastian Ndesaruo Msaki
Baba mzazi hatoboi
Mi mbona nimeoa mmasai boma la Kisirikule umasaini kuna wamasai wameoa waswahili ila sijawahi kuona mswahili kaoa mmasai, japo wanawake wa kimasai huwa na wapenzi wa kiswahili ila linapokuja suala la kuoa itakuwa shughuli pevu kukubaliwa na jamii hiyo
Mkuu wacha kuchanganya taarifa! Meru hawawezi kuwa na jina la Ngoyai! Labda sema mama yake ndiye Mmeru!Lowasa ni mmeru aliezaliwa monduli,mama yake mzazi ndio mmasai
He! USA kuna wameru! Trump akisikia hii atagomba sana.Kuna kipindi fulni Hayati Lowassa alizushiwa kuwa siyo mmasai Wala nini. Ni mtu kutoka kabila la Wameru wanaopatika Arumeru Magharib yaani huko, USA, tengeru, Maji ya Chai, Ndoombo, Katiti, Bangata, Kwa pole, Shangarai, Denishi, Valeska na Kingori ndiko unasaba wa Lowassa unatokeaa. Ya Kwamba wazazi wake walihamia Monduli kutafuta malisho ya mifugo Yao kufatia ukame na migogoro ya ardhi ktk maeneo hayo niliyoyataja
Hata hvyo binti ake dada Pamela ameolewa na kijana wa aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha marehemu Jeremiah Sumari kijana aitwae Sioi Sumari ambae pia alipata kuwa mwanasheria na afisa wa bank ya standard chartered hivyo mzee akaozesha kwa kabila lake binti yake [emoji23]
Kijana huo aliingia mgogoro na jiwe ndipo jiwe akawatupa gerezani yeye na aliyewahi kuwa commissioner wa TRA ndugu Harry Kitilya ktk kesi ya uhujumu uchumi na kujipatia pesa au kuchota kupitia kampuni yao ya enterprises growth marketing system
Anyway baada ya Hayati Lowassa kuibiwa kura zake na kina jiwe na chama chake sijawai Wala sitokaa tena kwenda kupiga foleni kuchaguwa viongozi hata awe mwanangu sitoshiriki uchaguzi wowote nilikata tamaa na nimekata tamaaa
Lowassa alikuwa ndio icone ya Kasikazini na hatatokeaa tena jeembe kama yeye ktk ukanda huo ambako kwa Sasa umepoteza ushawishi wa kisiasa.
Hawakufungua jeneza ili marehemu asiwaone wezi wa CCM waliompora kura zake.Kuna kipindi fulni Hayati Lowassa alizushiwa kuwa siyo mmasai Wala nini. Ni mtu kutoka kabila la Wameru wanaopatika Arumeru Magharib yaani huko, USA, tengeru, Maji ya Chai, Ndoombo, Katiti, Bangata, Kwa pole, Shangarai, Denishi, Valeska na Kingori ndiko unasaba wa Lowassa unatokeaa. Ya Kwamba wazazi wake walihamia Monduli kutafuta malisho ya mifugo Yao kufatia ukame na migogoro ya ardhi ktk maeneo hayo niliyoyataja
Hata hvyo binti ake dada Pamela ameolewa na kijana wa aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha marehemu Jeremiah Sumari kijana aitwae Sioi Sumari ambae pia alipata kuwa mwanasheria na afisa wa bank ya standard chartered hivyo mzee akaozesha kwa kabila lake binti yake [emoji23]
Kijana huo aliingia mgogoro na jiwe ndipo jiwe akawatupa gerezani yeye na aliyewahi kuwa commissioner wa TRA ndugu Harry Kitilya ktk kesi ya uhujumu uchumi na kujipatia pesa au kuchota kupitia kampuni yao ya enterprises growth marketing system
Anyway baada ya Hayati Lowassa kuibiwa kura zake na kina jiwe na chama chake sijawai Wala sitokaa tena kwenda kupiga foleni kuchaguwa viongozi hata awe mwanangu sitoshiriki uchaguzi wowote nilikata tamaa na nimekata tamaaa
Lowassa alikuwa ndio icone ya Kasikazini na hatatokeaa tena jeembe kama yeye ktk ukanda huo ambako kwa Sasa umepoteza ushawishi wa kisiasa.
umeandika gazeti reefu,point ni moja tu"TANGU LOWASA AIBIWE KURA 2015,SITAPANGA FORENI KUPIGA KURA NCHI HII"Kuna kipindi fulni Hayati Lowassa alizushiwa kuwa siyo mmasai Wala nini. Ni mtu kutoka kabila la Wameru wanaopatika Arumeru Magharib yaani huko, USA, tengeru, Maji ya Chai, Ndoombo, Katiti, Bangata, Kwa pole, Shangarai, Denishi, Valeska na Kingori ndiko unasaba wa Lowassa unatokeaa. Ya Kwamba wazazi wake walihamia Monduli kutafuta malisho ya mifugo Yao kufatia ukame na migogoro ya ardhi ktk maeneo hayo niliyoyataja
Hata hvyo binti ake dada Pamela ameolewa na kijana wa aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha marehemu Jeremiah Sumari kijana aitwae Sioi Sumari ambae pia alipata kuwa mwanasheria na afisa wa bank ya standard chartered hivyo mzee akaozesha kwa kabila lake binti yake [emoji23]
Kijana huo aliingia mgogoro na jiwe ndipo jiwe akawatupa gerezani yeye na aliyewahi kuwa commissioner wa TRA ndugu Harry Kitilya ktk kesi ya uhujumu uchumi na kujipatia pesa au kuchota kupitia kampuni yao ya enterprises growth marketing system
Anyway baada ya Hayati Lowassa kuibiwa kura zake na kina jiwe na chama chake sijawai Wala sitokaa tena kwenda kupiga foleni kuchaguwa viongozi hata awe mwanangu sitoshiriki uchaguzi wowote nilikata tamaa na nimekata tamaaa
Lowassa alikuwa ndio icone ya Kasikazini na hatatokeaa tena jeembe kama yeye ktk ukanda huo ambako kwa Sasa umepoteza ushawishi wa kisiasa.
Kwanza unatakiwa kujua kaskazin wachagga wapare wamasai wameru hiz kabila zimechanyana miaka mingi. Pili wachagga wamekuwa wapinzan wa serikali ila kwasasa wameamua kurud kwenye lengo la kusaka maokoto mkuu.Kuna kipindi fulni Hayati Lowassa alizushiwa kuwa siyo mmasai Wala nini. Ni mtu kutoka kabila la Wameru wanaopatika Arumeru Magharib yaani huko, USA, tengeru, Maji ya Chai, Ndoombo, Katiti, Bangata, Kwa pole, Shangarai, Denishi, Valeska na Kingori ndiko unasaba wa Lowassa unatokeaa. Ya Kwamba wazazi wake walihamia Monduli kutafuta malisho ya mifugo Yao kufatia ukame na migogoro ya ardhi ktk maeneo hayo niliyoyataja
Hata hvyo binti ake dada Pamela ameolewa na kijana wa aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha marehemu Jeremiah Sumari kijana aitwae Sioi Sumari ambae pia alipata kuwa mwanasheria na afisa wa bank ya standard chartered hivyo mzee akaozesha kwa kabila lake binti yake [emoji23]
Kijana huo aliingia mgogoro na jiwe ndipo jiwe akawatupa gerezani yeye na aliyewahi kuwa commissioner wa TRA ndugu Harry Kitilya ktk kesi ya uhujumu uchumi na kujipatia pesa au kuchota kupitia kampuni yao ya enterprises growth marketing system
Anyway baada ya Hayati Lowassa kuibiwa kura zake na kina jiwe na chama chake sijawai Wala sitokaa tena kwenda kupiga foleni kuchaguwa viongozi hata awe mwanangu sitoshiriki uchaguzi wowote nilikata tamaa na nimekata tamaaa
Lowassa alikuwa ndio icone ya Kasikazini na hatatokeaa tena jeembe kama yeye ktk ukanda huo ambako kwa Sasa umepoteza ushawishi wa kisiasa.
Kumbe wapo sawa tu na jpm,kwa sababu hata jpm na yeye ni hivyo hivyo.Ukweli uko hivi.
Mila za kimasai huwa hazikatai watoto wanaozaliwa nje ya umasai na kuletwa umasaini, kwanini? Siri ya mimba imefichwa na mama, yeye ndio anajua (na wakati mwingine asijue) ni mwanaume gani alimpa hiyo mimba, hivyo mtoto hana kosa na jamii ya kimasai itapokea watoto wote.
Sasa kisa cha Lowassa kiko hivi, mama yake mzazi (sijui ni mmeru au mmasai) aliolewa na Mmeru na Lowassa akazaliwa, akiwa bado mdogo sana baba yake mzazi akafariki na mama yake mzazi akaolewa na Mmasai (Ngoyai) hivyo mzee Ngoyai akachukua mke na mtoto. Na mtoto (Lowassa) kimila akaingizwa kuwa sehemu ya wamasai. Na kuanzia hapo akawa ni mmasai sawa sawa na wamasai wengine wote, ni kitendo chochote cha kuhoji umasai wake, kimasai huko ni kukufuru.