Hii elimu yetu sasa inaelekea pabaya. nina mchumba wangu baada ya kumaliza form four nikampeleka chua akasomea Community Development, cha ajabu tangu amalize masomo sasa ni mwaka wa 2 tumetafuta kazi hadi tumechoka. anaejua lolote anisaidie pliz
0785795889
Muendeleze apate digrii. Sehemu zenye uwekezaji mkubwa wanalazimishwa kuwa na corporate social responsibility programs, na wanawatumia sana hao watu. Angalia pia social welfare issues, zinamuhusu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.