Kwani CHADEMA ipo maeneo gani hapa Dar?.

Kwani CHADEMA ipo maeneo gani hapa Dar?.

Mwenye macho haambiwi tazama,na ukitaka kujua akili ya mtu mpe nafasi ya kusema au kutenda
 
Mkuu jibu hoja chadema ipo maeneo gani hapa dar?

ipo kwenye mioyo ya wapenda haki.....sio wa akina nanihii eti watakaempata atalipwa m100 khe wenye hio kazi ya upelelezi tunawalipa kodi zetu mishahara kha haya si ni masihara?
 
Hiyo ni dar yote ktk vitongoji 19? Nani asiyejua hila za ccm? Hongeren kwa kuzitwaa! Ila twawaambia ni ndoto ccm kurudi ikulu! Cdm si dar pekee! Muulize shonza na mwampamba, pili, usiwatukane wanachadema kwa kusema ipo maeneo ambayo vijana hawajitum, vp mbeya,hai, karatu,mwanza, singida,musoma, kigoma,rombo n.k kote hawajitumi? Cdm hatutumik tunajituma na ndio maana tunachangia chama chetu kwa kila namna iliyo halali.
 
Mwenye macho haambiwi tazama,na ukitaka kujua akili ya mtu mpe nafasi ya kusema au kutenda
hsa akipata hela au akalewa eitha madawa cocaine au tusker
Naona uncle buku seven kaoona amapaaaaata kumbe wezie wwnafanya biashara china
 
Kunawatu walijadili kwa hisia tofauti baada ya matokeo ya juzi hapa dar kwa chadema kuchapwa 19 kwa bila,

wapo walioshangaa kuwa kwa nini imekuwa hivyo,

lakini wapo walioumia sana kama aweda na kuanza kutunga uongo wa kupotosha watu kwa nini chadema imeshindwa dar,

lakini kunawengine walijua hali ile ingetokea kwa vile dar hakuna kitu kinaitwa chadema hata jimbo la kawe na ubungo ccm waliwapa chadema kwa uzembe wao wa kuweka wagombea ambao hawakutakiwa na watu,

lakini mimi najua siku zote kuwa dar hakuna kitu kinaitwa chadema ila kunakelele tu za watu wachache wanaishi kimara baruti wanajiita makamanda sijui ni makamanda wa jeshi gani,

Amini msiamini dar hakuna chadema anayebisha aniambie iko wapi,kinondoni,ilala,au temeke? Anyebisha anipe mifano nijue mahala ilipo chadema mimi siioni kabisa.
Hata mwezi bado tangu uingie humu darasani ushaanza kutema pumba?
 
Sijaelewa kwanini kuna thread mbili za Uncle DEO na Watanabe zote zinajitahidi kujibu siri nilizotoa hadharani za ushindi feki wa ccm Dar. Hoja hujibiwa kwa hoja siyo propaganda.

Mimi nimesema kuwa;
Wako watu walioandikishwa Mwongozo kutoka mitaa mingine, 7 kati yao wakaondolewa, kibao tulishindwa kuwaondoa kwa sababu hatuna ushahidi lakini makazi yao mtaa wa Mwongozo hayajulikani.

Pili, wako watu walioandikishwa ambao miaka yao ilitofautiana sana na miaka iliyoandikishwa 25 vs 74.
Tatu, wengine walishindwa kujibu swali kuhusu sehemu wanazokaa.

Nne, wengine waliulizwa wewe unaitwa John K Rweto, je, HIYO k ya jina lako kirefu chake ni nini? Wakang'a macho. Wako walioulizwa wewe unakaa wapi hapa mwongozo, Jibu nina kaa hapa. Unakaa karibu na nini? Kanisa, shule, baa msikiti au kitu gani kama bara bara ambacho unakaa karibu nacho? Swali hili liliwatoa jasho wengi.

Kwa mbinu tajwa hapo juu ya kuwauliza maswali, wakala wetu alizuia watu 25 japo zoezi hilo lilianza mchana kwa kuchelewa.

Nikauliza kama tukienda mitaa yote tutapata matokeo tofauti na haya? Hii ndo hoja, siyo propaganda.
 
Kunawatu walijadili kwa hisia tofauti baada ya matokeo ya juzi hapa dar kwa chadema kuchapwa 19 kwa bila,

wapo walioshangaa kuwa kwa nini imekuwa hivyo,

lakini wapo walioumia sana kama aweda na kuanza kutunga uongo wa kupotosha watu kwa nini chadema imeshindwa dar,

lakini kunawengine walijua hali ile ingetokea kwa vile dar hakuna kitu kinaitwa chadema hata jimbo la kawe na ubungo ccm waliwapa chadema kwa uzembe wao wa kuweka wagombea ambao hawakutakiwa na watu,

lakini mimi najua siku zote kuwa dar hakuna kitu kinaitwa chadema ila kunakelele tu za watu wachache wanaishi kimara baruti wanajiita makamanda sijui ni makamanda wa jeshi gani,

Amini msiamini dar hakuna chadema anayebisha aniambie iko wapi,kinondoni,ilala,au temeke? Anyebisha anipe mifano nijue mahala ilipo chadema mimi siioni kabisa.

cdm iko chumbani kwako amini usiamini
 
Magamba Bwana, kwa taarifa yenu maeneo ambayo kuna waelewa wengi na CDM ipo, mfano Osterbay, Mikocheni, kawe, mbezi Kimara na ameneo hayo, temeke tunaweza tusiwepo sana, hivyo mtoa maada inategemea wewe upo wapi
 
JF hata kama umegombana na nkeo asubuhi, we login hata kwa dk 15 tu zatosha - teh teh teh

attachment.php
 
JF hata kama umegombana na nkeo asubuhi, we login hata kwa dk 15 tu zatosha - teh teh teh

attachment.php

kwi kwi kwi kwi kw kwi kwi kwi aisee k k k k k k k k hamna siku niliyocheka kama leo kwi kwi kwi hadi watu wananishangaa ofisini JF noma ila jamani CHADEMA DAR we need to do something yani hadi ofisi zetu za makao makuu mbuge ni wa CCM na Diwani ni wa CCM abbasi tarimba k k k k k k k k k k k
 
Acha kuweweseka mlisha watu sumu ww, chadema iko wapi dar?
Hongera kwa kujitambua kuwa wewe ni sehemu ya chama cha magaidi. Chama ambacho maisha ya mashehe na wachungaji yako mashakani. Mashehe na mapadri wanapigwa risasi na kumwagiwa tindikali mbele ya waumini wao!... UGUA POLE MZEE WANGU PONDA, hao ndio maccm!
 
hata kagame na rpf walipochukua rwanda , kigali ilikuwa ndiyo sehemu ya mwisho kabisa kuikomboa ! ila ndiyo mahali walipotangazia ushindi .
 
JF hata kama umegombana na nkeo asubuhi, we login hata kwa dk 15 tu zatosha - teh teh teh

attachment.php
Shibuda, ...nenda kawanunue na kuwatisha vijana wa chadema utakaoletewa na mwigulu.. Nakuamini sana wewe ni MBUNGE WA CCM KWA TIKETI YA CHADEMA.
 
Back
Top Bottom