Kwani CHADEMA ipo maeneo gani hapa Dar?.

Atongwele

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
2,470
Reaction score
106
Kunawatu walijadili kwa hisia tofauti baada ya matokeo ya juzi hapa dar kwa chadema kuchapwa 19 kwa bila,

wapo walioshangaa kuwa kwa nini imekuwa hivyo,

lakini wapo walioumia sana kama aweda na kuanza kutunga uongo wa kupotosha watu kwa nini chadema imeshindwa dar,

lakini kunawengine walijua hali ile ingetokea kwa vile dar hakuna kitu kinaitwa chadema hata jimbo la kawe na ubungo ccm waliwapa chadema kwa uzembe wao wa kuweka wagombea ambao hawakutakiwa na watu,

lakini mimi najua siku zote kuwa dar hakuna kitu kinaitwa chadema ila kunakelele tu za watu wachache wanaishi kimara baruti wanajiita makamanda sijui ni makamanda wa jeshi gani,

Amini msiamini dar hakuna chadema anayebisha aniambie iko wapi,kinondoni,ilala,au temeke? Anyebisha anipe mifano nijue mahala ilipo chadema mimi siioni kabisa.
 
wahulize hawa
 
Attachments

  • NS.jpg
    NS.jpg
    29.7 KB · Views: 383
ukiona sehemu wanachoma kitimoto ujue hapo kuna chadema.
 
Kunawatu walijadili kwa hisia tofauti baada ya matokeo ya juzi hapa dar kwa chadema kuchapwa 19 kwa bila,

wapo walioshangaa kuwa kwa nini imekuwa hivyo,

lakini wapo walioumia sana kama aweda na kuanza kutunga uongo wa kupotosha watu kwa nini chadema imeshindwa dar,

lakini kunawengine walijua hali ile ingetokea kwa vile dar hakuna kitu kinaitwa chadema hata jimbo la kawe na ubungo ccm waliwapa chadema kwa uzembe wao wa kuweka wagombea ambao hawakutakiwa na watu,

lakini mimi najua siku zote kuwa dar hakuna kitu kinaitwa chadema ila kunakelele tu za watu wachache wanaishi kimara baruti wanajiita makamanda sijui ni makamanda wa jeshi gani,

Amini msiamini dar hakuna chadema anayebisha aniambie iko wapi,kinondoni,ilala,au temeke? Anyebisha anipe mifano nijue mahala ilipo chadema mimi siioni kabisa.
Muulize Mkeo si ana kadi ya CHADEMA.
 
Wauza madawa ya kulevya hivi wapo Chama gani...?
 
Aweda mchumia tumbo wala usimtilie maanani.

Huyo ana vizia ubunge jimbo la Ukonga, sijui ni mwananchi gani apoteze kura yake kwa kumpigia Aweda?

CHADEMA imekosa kuongoza mtaa tu ambao chama hicho kipo situated, itaweza mitaa kama Mwongozo ambao ni ngome ya CCM miaka rundo?
 
Kwa matokeo yale,bila shaka Chadema tunachukua nchi!
 
Aweda mchumia tumbo wala usimtilie maanani.

Huyo ana vizia ubunge jimbo la Ukonga, sijui ni mwananchi gani apoteze kura yake kwa kumpigia Aweda?

CHADEMA imekosa kuongoza mtaa tu ambao chama hicho kipo situated, itaweza mitaa kama Mwongozo ambao ni ngome ya CCM miaka rundo?
Nasikia wewe ni Mliberali ......una lolote la kusema juu ya jambo hilo? Niko kwenye utafiti wa jinsi Uliberali unavyohusiana na kubemenda ubongo wa mwanadamu.Ahsante
 
Aweda mchumia tumbo wala usimtilie maanani.

Huyo ana vizia ubunge jimbo la Ukonga, sijui ni mwananchi gani apoteze kura yake kwa kumpigia Aweda?

CHADEMA imekosa kuongoza mtaa tu ambao chama hicho kipo situated, itaweza mitaa kama Mwongozo ambao ni ngome ya CCM miaka rundo?

Chadema iko zaidi maeneo ya ambapo vijana wamekalia umbea,hawataki kufanya kazi,wavuta njemu,kwa jiji la kazi kama dar watokee wapi?!,angalia Arusha,angalia pale Biharamulo!,ni majanga tu!!!!
 
Chadema ipo Tanzania,imeenea kuanzia mwanza mpaka mtwara,ipo kigoma hadi arusha,ipo morogoro ipo hata sumbawanga,chadema ni chama cha kitanzania penye tlp pana cdm,penye ccm,cuf,nccr nk kote huko chadema ipo,sijui hiyo dar unayoisema ni ya nchi gani?ndiyo hii hii ya ilala.kinondoni na temeke?kama ni hiyo basi nenda ubungo na kawe utaikuta,muulize makongoro mahanga kuhusu chadema segerea!! Dar ya tanzania haiishii kwa sokota tu,hata kimara unakosema kuna makamanda pia ni dar (ya Tz)hivi kismayu kuna dar?
 
Kunawatu walijadili kwa hisia tofauti baada ya matokeo ya juzi hapa dar kwa chadema kuchapwa 19 kwa bila,

wapo walioshangaa kuwa kwa nini imekuwa hivyo,

lakini wapo walioumia sana kama aweda na kuanza kutunga uongo wa kupotosha watu kwa nini chadema imeshindwa dar,

lakini kunawengine walijua hali ile ingetokea kwa vile dar hakuna kitu kinaitwa chadema hata jimbo la kawe na ubungo ccm waliwapa chadema kwa uzembe wao wa kuweka wagombea ambao hawakutakiwa na watu,

lakini mimi najua siku zote kuwa dar hakuna kitu kinaitwa chadema ila kunakelele tu za watu wachache wanaishi kimara baruti wanajiita makamanda sijui ni makamanda wa jeshi gani,

Amini msiamini dar hakuna chadema anayebisha aniambie iko wapi,kinondoni,ilala,au temeke? Anyebisha anipe mifano nijue mahala ilipo chadema mimi siioni kabisa.
karibu kwenye hii thread [h=3]Meneja wa Bandari Kavu (ICD) atiwa mbaroni[/h]..onyesha uzalendo wako hata KINAFIKI
 
CDM ipo mioyoni mwa wanadsm, kama huamini subiri 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwisho utaona kimbunga cha CDM 2015!
 
muulize bibi yako....
anaijua chadema vema lakini wewe mchumia tumbo kamwe uwez kuijua chadema.
 
Back
Top Bottom