Kwani CHADEMA ipo maeneo gani hapa Dar?.

Mkuu haka kasredi hakana jipya..
CCM yaenda anti-clockwise Kagera..Yawatimua madiwani nane wanaopinga ufisadi..Yagwaya kumtimua kiongozi wao Kagasheki

Hiyo ndo habari ya mujini kwa sasa
Mengine yote tupa kule...ptuuuuuuuuuuu
 
Chadema iko zaidi maeneo ya ambapo vijana wamekalia umbea,hawataki kufanya kazi,wavuta njemu,kwa jiji la kazi kama dar watokee wapi?!,angalia Arusha,angalia pale Biharamulo!,ni majanga tu!!!!

Kwa nini mmempiga sheikh ponda?
 
Mkuu haka kasredi hakana jipya..
CCM yaenda anti-clockwise Kagera..Yawatimua madiwani nane wanaopinga ufisadi..Yagwaya kumtimua kiongozi wao Kagasheki

Hiyo ndo habari ya mujini kwa sasa
Mengine yote tupa kule...ptuuuuuuuuuuu
Mkuu ufisadi upi weka uthibitisho.
 
...Mbona hata PEMBA cccm haipo, si kaskazini, magh wala kusini Pemba! ... Lakini wenyewe wanajifanya wanakubalika nchi nzima, majanga!
 
Mkuu hawa jamaa wanamatatizo ngoja wajifariji watakufa kibudu.
 
Mlianza tanzania hamna chadema. Sasa hivi mumebakiwa na mtaa wa ruthuli. Dar yenyewe majimbo tumegawana. Ccm mpo wapi? ngome ya ccm ni wapi? Kinondoni?. mia
 
Unaongelea kinondoni gani labda kama kunakinondoni moshi hapo sawa ila kama ni hii ya dar unajitesa bure mdee mwenyewe kwa sasa akiitisha mkutano wa hadhala wanakuja watoto wa shule ya msingi tu na pipi zao mdomoni.
 
...Mbona hata PEMBA cccm haipo, si kaskazini, magh wala kusini Pemba! ... Lakini wenyewe wanajifanya wanakubalika nchi nzima, majanga!
 
Kunawatu walijadili kwa hisia tofauti baada ya matokeo ya juzi hapa dar kwa chadema kuchapwa 19 kwa bila,

wapo walioshangaa kuwa kwa nini imekuwa hivyo,

lakini wapo walioumia sana kama aweda na kuanza kutunga uongo wa kupotosha watu kwa nini chadema imeshindwa dar,

lakini kunawengine walijua hali ile ingetokea kwa vile dar hakuna kitu kinaitwa chadema hata jimbo la kawe na ubungo ccm waliwapa chadema kwa uzembe wao wa kuweka wagombea ambao hawakutakiwa na watu,

lakini mimi najua siku zote kuwa dar hakuna kitu kinaitwa chadema ila kunakelele tu za watu wachache wanaishi kimara baruti wanajiita makamanda sijui ni makamanda wa jeshi gani,

Amini msiamini dar hakuna chadema anayebisha aniambie iko wapi,kinondoni,ilala,au temeke? Anyebisha anipe mifano nijue mahala ilipo chadema mimi siioni kabisa.

...hizi ndo athali za madawa ya kulevya...
 
Hongera kwa kujiunga na chama cha magaidi. Chama ambacho maisha ya mashehe na wachungaji yako mashakani. Mashehe na mapadri wanapigwa risasi na kumwagiwa tindikali mbele ya waumini wao!... UGUA POLE MZEE WANGU PONDA, hao ndio maccm!
 
Acha kuweweseka mlisha watu sumu ww, chadema iko wapi dar?
 
Back
Top Bottom