Kwangu mm Extraction ndio movie bora 2020

mkuu unaelewa kwamba kuna aina tofauti za movie na sio zote ni action tu kama john wick au hiyo extraction?
marvel ni movie aina za superhero sci fi ambapo chimbuko lake ni comicbooks.
na ina mashabiki wengi sababu walianza kuuza comicbooks miaka ambayo hakuna hata mmoja kwenye huu uzi bado hamjazaliwa.

kuna horror, actions, science fiction, comedy, adventure, animated, drama, epic, crime, war, disaster, fantasy, superhero. sports na genre nyingine nyingi.

so unaposema kuangalia movie za marvel na DC ni ushamba unakuwa unajichora mwenyewe utakuwa mgeni kwenye hii sekta.

alafu huyo jamaa wa kwenye extraction yeye ndio anacheza character ya THOR kwenye avengers huko marvel.
Mm sikufich ktk avengers nampenda sn iron man unajua kwann japo anadanganya lkn mtu ukithink it is possible lkn kwa anti man hapana au yule niga rafk yke captain america lkn kwa wonder woman nu fix tupu
 
mtu unaangalia movie ya genre ya sci-fi alafu unataka uhalisia? umeona wapi? tue fact kwamba ni sci-fi maana yake sio uhalisia ni fiction tu mambo ya kufikirika ndo hayo mtu anageuka kuwa gari.

so kama sci-fi genre hauzipendi usiponde bali tafuta hizo za war
 
Marvel wamekosa washaur ile kamba wamekosea kuwa ya mionz bora ata ingekuwa kawaida alafu mtu anapaa na bomu rocket how is this possible ni pumba tupu afu kwenye movie bora yenyewe ndio namba 1 hawa marvel wamechoka
mkuu ndo muvi zinazoingiza mpunga mrefu na studio zinpiga profit ya kufa mtu
 
Habar wadau

Kuna mambo huwa yanachekesha sn ukiyafuta wachambuzi wa filamu ukimwambia akutajie movie bora 2020 atakuambia siji wonder woman 1984 mara sijui bloodshoot na movie zengine za ajabu ajabu tu ikifike mahala muache ushamba nimechek movie ya extractiom mambo yaliyonishangaza ktk movie iyo
Kwanza camera haikat hii ina maana haikuungwaungwa sn

Pili video inaonekana ni halisi mambo ya animation hayakutumika sn na wala hamna michoro au computer graphics zilizohusika lkn mkong'oto humo ni heavy mtu anapigwa kibano mpaka anatafuta pa kutokea

Tatu actions zilichukua muda mrefu yaan unakuta dk 20 ni vurugu tu camera ipo constant mtu anapanda gar camera ipo anaendesha gar camera ipo anapanda gorofa camera ipo nataka nitafute behind the scene nione ilikuwaje yaan video inaonekana ipo mtaan kabisa duh apa waigizaji muende shule na wale waigozaji mliozoea kuunga unga km huna mazoez kwenye movoe km hz lazima uumbuke

Nawasilisha
bonge la kitu
 
Back
Top Bottom