Madam G
Member
- Apr 18, 2013
- 77
- 45
Salaam kwenu wana jamvi.
Kipindi hichoo nilivyokua bado kabinti hata sijajua kuvunja amri ile iloyokatazwa mpaka ndoa, kiukweli kigezo changu kikubwa angalau kunifanya nivutiwe na mwanaume ilikuwa na harufu nzuri mdomoni, yaani nilikuwa kama mjinga nitajitahidi niwezavyo mpaka nisikie mdomoni ananukia vizuri ama ananuka.
Yaani ikiwa atakuwa anaharufu mbaya basi hata asinisogelee,hiyo kitu imeendelea kwangu mpaka hata mume wangu enzi hivo ananifukuzia nilifanya jitahada mpaaka nikaskia anavyosmel.
Yeye hicho kigezo alikifaulu ndo maana mpaka sasa ni my husband na tuna mtoto mmoja mrembo na tunampenda sana, yaani kiukweli mpaka leo mtu yoyote awe mwanaume ama mwanamke nikishaskia harufu mbaya mdomoni huwa nakereka sana.
Tujitahidi sana kulipunguza hili tatizo kwa wenye nalo, najua wengi linawakera, mnisamehe niliowagusa.