6. Hana shughuli ya kufanya.1. Anataka kukucontrol saaana.
2. Anakupenda sana.
3. Hataki akukose, alishawai kuachwa kwa style hiyo.
4. Wewe ni first love kwake.
5. Anataka ndoa.
kumbe unajua unampenda...Pambana broHapana mkuu, tafuta, wako wengi tu kuzidi hata sisi...
6. Hana shughuli ya kufanya.
Niliwahi kuwa na demu mmoja alikua amemaliza chuo hana kazi yupo tu home. Aisee alikua anasumbua balaa yaani kila dakika anataka kuchati, kupigiana simu, mara video call... nikapiga chini.
We jamaa ni mstaharabu sana msaidie mkuu,utabarikiwaKama anakukera mlete kwangu
Tip ni wewe kupiga simu tu huna namna ingine.Ndio maana nikaomba tip, ya jinsi ya kuhandke bila kuharibu mambo...
mpigie PUNYETO....Nipe tip,, Nimshughulishe vipi ndugu!
Acha ziexpire... Mpigie asubuhi.. mchana jioni....au Kama kunadharura au kitu Cha muhimu..
Sio unapiga simu Kama upo nyumbani washa blender... Gonganisha vijiko[emoji849][emoji849][emoji849].