Acha ziexpire... Mpigie asubuhi.. mchana jioni....au Kama kunadharura au kitu Cha muhimu..Mkuu mbona vifurushi vya mwezi vinatoa madakika kibao mpaka yanaexpire? Wewe mpigie kila baada ya robo saa. Mbona fresh tu.
Mambo ya kupigiana simu Kila muda sio poa,mim ratiba yangu ni asubuhi nimjulie Hali afu baada ya hapo tunakutana jion au usiku tenaJamani... Mapenzi ya kupigana simu Kila dakika Ni kero... Tena iliyopitiliza. Umekaa kidogo video call...upo wapi... Upo CHOONI missed call kumi..upo wapi..[emoji36][emoji36][emoji36].
Mapenzi kupeana space Basi simu zikizidi sanaaa Mara 5.... HIVI kupiga simu Kila LISAAAAA mnaongea Nini?
Mimi hata hizo mara tano kwangu ni nyingi sana.Jamani... Mapenzi ya kupigana simu Kila dakika Ni kero... Tena iliyopitiliza. Umekaa kidogo video call...upo wapi... Upo CHOONI missed call kumi..upo wapi..[emoji36][emoji36][emoji36].
Mapenzi kupeana space Basi simu zikizidi sanaaa Mara 5.... HIVI kupiga simu Kila LISAAAAA mnaongea Nini?
Nashukuru....shughuli ni yeye kuelewa hili!!Kama hamna cha muhimu kinachowafanya muongee, sio lazima kupiga simu kila siku.
Kwa sababu kupiga simu kila siku haimaanishi ndio anakupenda sana.
Kama mapenzi yenu ni ya long distance, hata akikupigia simu haiwezi kufanya yeye kuwa mwaminifu kwako
Jamani... Mapenzi ya kupigana simu Kila dakika Ni kero... Tena iliyopitiliza. Umekaa kidogo video call...upo wapi... Upo CHOONI missed call kumi..upo wapi..[emoji36][emoji36][emoji36].
Mapenzi kupeana space Basi simu zikizidi sanaaa Mara 5.... HIVI kupiga simu Kila LISAAAAA mnaongea Nini?