nimesota
Senior Member
- Jan 16, 2015
- 123
- 53
Unalalamikia mengi yaliyokuwepo tayari zamani, naona wewe jipu linakuhusu. Bila hivyo ungekuwa umeshashika fagio unafanya usafi.
Halafu wewe uliye makini na muweza yote umelitendea nini Taifa lako na kuweza kujisigia kwa mwezi mmoja uliopita?
Mnataka Raisi aishi ka vile roboti au ana macho kila mnapokaa na kupafikilia.
Mtu anasaka pesa mambo yatendeke mnalalamika, sasa unasema mawaziri na ma naibu kwani kyna yoyote sasa hivi aliyeteuliwa au ulitaka kusema juu ya waliopita...maneno ni muhimu kueleweka.
Sikukuu za krisimasi zinakuja na kujongeza bei ni kawaida sema hamvigunduahi, na wanaoongeza wengine ni walikuwa hawalipi kodi na vya bure au mdandio ndio hivyo tena.
Khaaaa una kauchungu fulani zaidi juu ya Raisi, ila hata siku 100 hana hauchoki kumsema. Mtumie ujumbe aome kero zako, haya tufanye usafi nilikuwa nakunywa maji kidogo.
mkuu nipe mawazo yako ingekuwaje kama angewaita mawazir wa sekta husika na kuwahoji juu ya madudu hayo kama alivyosema mtoa mada