stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,484
Heshima kwako!!
habari za siku tele natumai u bukheri wa afya njema
lengo la uzi huu ni kukusalimu mrembo,nimekumbuka mno zile thread zako ulizokuwa ukiziandika kwa lafudhi ya kikongo kwani ulikuwa ukinifurahisha.
sina lengo baya kuandika hii thread bali kukusalim na kukuuliza mbona umepotea jamvini?
wako
mchicha mbogq