official scandal
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 386
- 798
Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni
Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa Mhindi. Kila siku jioni vijana zaidi ya 60 hukutana hapo na kuvuta bangi pamoja na kuuza. Tumeripoti kituo cha polisi Vijibweni lakini hakuna walichofanya. Mkichelewa wananchi wamepanga kuchukua hatua wenyewe maana tunaibiwa na tunavuta moshi wa bangi kila siku jioni.
Naomba ulifanyie kazi maana kituo cha polisi vijibweni kimeshindwa.
Bangi inatuathiri mheshimiwa.
Ngoja nilale maana kichwa kizito
Umewahi kujiuliza ule ila bangi haina madhara kam pombe basi tu mapokeo yanatutesa
Kwa hiyo kichwa kizito kwa ajili ya bange?Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni.
Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa Mhindi.
Kila siku jioni vijana zaidi ya 60 hukutana hapo na kuvuta bangi pamoja na kuuza.
Tumeripoti kituo cha polisi Vijibweni lakini hakuna walichofanya. Mkichelewa wananchi wamepanga kuchukua hatua wenyewe maana tunaibiwa na tunavuta moshi wa bangi kila siku jioni.
Naomba ulifanyie kazi maana kituo cha polisi vijibweni kimeshindwa.
Bangi inatuathiri mheshimiwa.
Ngoja nilale maana kichwa kizito
Ile ilikua nguvu ya soda!!Umewahi kujiuliza ule uninja wake umeenda wapi?
Ameshakuambia moshi una muumiza au huelewi wewe mvuta bangi?Hivi mtu akivuta bangi kwa raha zake wewe unaumwa na nini? Kamateni wanaolima na kuuza, wacha sie wavutaji tuvute