Kwako Prof. wewe na kamati yako

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,917
Napenda kukupa angalizo mapema wewe na kamati yako mjue tu kuwa iwapo kazi ile mliifanya ili kumfurahisha fulani na si kwa kuzingatia taaluma na weledi,basi wewe na kamati yako mjiandae kutolewa mbuzi wa kafara kwa kubebeshwa lawama zote.

Muda si mrefu watawageuka na kuwashutuma kuwa mmemdanganya Mkulu na wako wanaoweza kwenda mbali na kusema mmetumika kumuhujumu na wako watakaosema mchunguzwe na ikithibitika mmedanganya mchukuliwe hatua unless mlikuwa na kinga ya kutoshitakiwa katika kufanya kazi yenu.

Watafanya yote haya kwa lengo la kumsafisha Mkulu ambae ni wazi nae alikosa umakini na busara ya kukaa na wasaidizi wake kuipitia ripoti ile kwanza kabla ya kuikubali na hatimae kuchukua maamuzi.

Vile vile kama kuna mtu alimshauri kusitisha usafirishaji wa ile bidhaa nae akae mkao wa kula unless yale yalikuwa ni maamuzi yake yeye kama tu.

Waliwasifu sana ila ukweli ukidhihirika watawageuka vibaya sana na ninawashauri na wale wa ile kamati nyingine wafanye kazi yao kwa weledi ili kuepuka haya yanayoweza kuwapata nyie maana hawa ni watu wa kuangalia jinsi upepo unavyovuma na si facts.

Time will tell.
 
Isije ikawa kama siku ile aliyoenda Bandarini na kuuliza "leo kuna meli ngapi" Halafu akajibiwa "Thelasini"
Akauliza tena
"leo kuna meli ngapi" Halafu akajibiwa "Thelasini" wakati ukweli meli za mizigo hazikuzidi hata kumi.Naomba sana matokeo ya tume yawe ya kweli coz itazidi kutupa matumaini watanzania
 
Hakuna mbuzi kafara wala swala halali...hatua yoyote ni muhimi kuliko volcano tuli.
 
Destiny to all these is there by 2020....

Sipigii picha hali itakuwaje.

Sdhani kama mpaka sasa bado kuna mtz ambae ni mbumbu haelewi kinachoendelea.

Let's move on to see what next.
 
Napenda kukupa angalizo mapema wewe na kamati yako mjue tu kuwa iwapo kazi ile mliifanya ili kumfurahisha fulani na si kwa kuzingatia taaluma na weledi,basi wewe na kamati yako mjiandae kutolewa mbuzi wa kafara kwa kubebeshwa lawama zote.

Muda si mrefu watawageuka na kuwashutuma kuwa mmemdanganya Mkulu na wako wanaoweza kwenda mbali na kusema mmetumika kumuhujumu na wako watakaosema mchunguzwe na ikithibitika mmedanganya mchukuliwe hatua unless mlikuwa na kinga ya kutoshitakiwa katika kufanya kazi yenu.

Watafanya yote haya kwa lengo la kumsafisha Mkulu ambae ni wazi nae alikosa umakini na busara ya kukaa na wasaidizi wake kuipitia ripoti ile kwanza kabla ya kuikubali na hatimae kuchukua maamuzi.

Vile vile kama kuna mtu alimshauri kusitisha usafirishaji wa ile bidhaa nae akae mkao wa kula unless yale yalikuwa ni maamuzi yake yeye kama tu.

Waliwasifu sana ila ukweli ukidhihirika watawageuka vibaya sana na ninawashauri na wale wa ile kamati nyingine wafanye kazi yao kwa weledi ili kuepuka haya yanayoweza kuwapata nyie maana hawa ni watu wa kuangalia jinsi upepo unavyovuma na si facts.

Time will tell.

Umoenoa ee
Ipi angefanya. Kunawengine ukisema kinyume na wanachotaka unatumbuliwa hata kama ni ukweli. Ukisema wanayotaka wanakupa mlo kamili. Sasa wewe salary slip unaona angefanyaje. matokeo baadaye
 
Ndio maana nakwambia wao watatolewa mbuzi wa kafara katika hili.
 
Tunachokijua zaidi wa Tanzania ni majungu,fitina na kukatishana tamaa. Ili tatizo litatuliwe lazima awepo mtu wa kulianzisha kwa kufwata sheria au kukiuka sheria. Tume tunawashukuru kwa kazi yao lazima tupambane na hari yetu.
 
Isije ikawa kama siku ile aliyoenda Bandarini na kuuliza "leo kuna meli ngapi" Halafu akajibiwa "Thelasini"
Akauliza tena
"leo kuna meli ngapi" Halafu akajibiwa "Thelasini" wakati ukweli meli za mizigo hazikuzidi hata kumi.Naomba sana matokeo ya tume yawe ya kweli coz itazidi kutupa matumaini watanzania
Hahahaaaa,
 
Umoenoa ee
Ipi angefanya. Kunawengine ukisema kinyume na wanachotaka unatumbuliwa hata kama ni ukweli. Ukisema wanayotaka wanakupa mlo kamili. Sasa wewe salary slip unaona angefanyaje. matokeo baadaye
Ndio maana hata waganga wa kienyeji na wafanya mazingaombwe wanapenda kujiita "Dk" au "Prof"

Ngazi hii ya elimu imekuwa ya hovyo kabisa kwa taifa
 
Huyu anayefanya muamala kwako amempata mtu ambaye anautendea haki muamala wake.
hongera sana mkuu maana tangu kutoka kwa ripoti sioni ukiongelea swala lingine.
kingine zaidi haya makelele yako hayabadilishi kitu chochote mara udai soft copy mara wachunguzi huru, mara tume sijui nini.
ungeendelea tu na mambo mengine haya mambo ya kupata muamala na kumuambia Id unayotumia kulipigania suala la madini linakutesa sana next time omba tu pesa bila kutaja Id yako.
 
Isije ikawa kama siku ile aliyoenda Bandarini na kuuliza "leo kuna meli ngapi" Halafu akajibiwa "Thelasini"
Akauliza tena
"leo kuna meli ngapi" Halafu akajibiwa "Thelasini" wakati ukweli meli za mizigo hazikuzidi hata kumi.Naomba sana matokeo ya tume yawe ya kweli coz itazidi kutupa matumaini watanzania
Siku ile ilisikitisha sana Mkuu..
Nina jamaa angu ni Crane Operator wa TICTS aliniambia siku ile Rais alidanganywa kama mtoto vile..
Kulikuwa na Meli 4 tu..
Na yeye akaondoka kichwani akijua zipo selasini.
 
Unavyoongea mbona kama tayari umeshahukumu kuwa walidanganya...??
 
Siku ile ilisikitisha sana Mkuu..
Nina jamaa angu ni Crane Operator wa TICTS aliniambia siku ile Rais alidanganywa kama mtoto vile..
Kulikuwa na Meli 4 tu..
Na yeye akaondoka kichwani akijua zipo selasini.
Mi nina wasi wasi watu wanaweza kufukia vipande vya chupa vingi sana kwenye ardhi halafu wakaenda kumwambia mzee tumegundua eneo lenye almasi nyingi sana na yeye akaamini
 
Wanasiasa na wasomi wetu wanafiki sana.....raisi wa zamani Korea kusini Bi Park Guen Hye amefikishwa mahakamani akituhumiwa alifanya ubadhirifu wa dola za kimarekani milioni 70...bunge lilikubaliana ashitakiwe ...Hapa kwetu tunazunguka na kupoteza muda....Raisi Magufuli ukitaka jina lako liandikwe kwenye gold plate ..peleka mahakamani wale wote waliohusika na kadhia hii hata kama waliwahi kuwa Maraisi wa JMT ..bunge lifute immunity zao..Funga wote na mali zao taifisha..kwa hilo hata wapinzani watakupa kura 2020
 
Back
Top Bottom