mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana JF.
Mh. Waziri nimeona anaangaika sana kuiweka elimu katika mstari sahihi lakini atakumbana na vikwazo lukuki kutokana na watangulizi wake kuboronga sana tangia enzi za Marehemu J. Makweta, Mungai, Kawambwa . Huko nyuma mwalimu yoyote alipoteza thamani, ilifikia hatua hii kazi watu wakawa hawaipendi kabisa kutokana na mazingira wanayoishi.
Nianze kwa kusema kuwa wanafunzi huwa hawashindwi bali walimu ndio wanashindwa kuingiza wanafunzi walichofundishwa wao.
1. Walimu wengi hawana hamasa wanafanya bora liende. Mwalimu huyu utakuta wakwanza kuchelewa, mahudhurio kidogo, huwa mkali shuleni watoto utakuta wamempa majina mabaya kama pilati, mnomko na n.k.
2. Walimu wengi hawapati mafunzo panapotokea mitaala mipya au wakati mwingine upewa masomo ambayo hawana uwezo nayo, ulazimishwa kufundisha masomo ili pasionekane hakuna mtu wakati walimu wachache.
3. Walimu wengi kwa kukosa sehemu sahihi ya kujikimu hukuta wanaungana na jamii zenye mazingira duni hivyo kujikuta wamefanya mazoea na kukuta wakidumaa akili kwa kuwa hawapati changamoto mpya. Mfano wengi wameishia ulevi na uendeshaji bodaboda hivyo ujikuta wanadhalaulika kwenye jamii.
4. Vijiji vingi vyenye hali duni huwakatisha tamaa walimu kwani wengi hawataki watoto wao waendelee na shule, wanaona wanawachelewesha kuolewa ikiwa watashinda kuendelea na masomo.
Jambo linalokusumbua mh. ambalo unaangaika nalo ni kuwa unaangaika sana kuwaindoa wageni hasa wakenya waliojaa nchini kuja kufundisha shule zenye english media, unasahau kuwa kitendo cha kufundisha kiswahi full katika vipindi vyote ndio kikwazo cha kwanza wanapokuwa wanasonga mbele kuingia kidato cha kwanza. Kwanza jiulize wewe baada ya kupata elimu watoto wako wapo hizi shule za sant. Kayumba? Kwani mawaziri , makatibu wakuu, wakurugenzi, watoto wao hawako huko? Jibu hawataki kukutana na walimu waliokata tamaa; hawataki kujua zaidi kiswahili kwani wakitaka kiswahili wapo wazaramo na wazanzibar wanakifahamu wataenda kujifunza tu lakini hii lugha ya malkia bado ina dhamani kibiashara. Badilikeni mwende na soko sio kukosoa watu wanaojitolea kuanzisha mashule ya english media za kulipia, kwani wao ndio wanaobekana kufanikiwa.