Kiuhalisia nimetenda mambo ya kuidanganya nafsi kwa kumfikiria mambo vibaya huyu ndugu mfano nilijua ni kilaza.
Kumbe nikajidanganya kumbe kuna watu wamechaguliwa na MUNGU ukimsema vibaya yeye hapati madhara wananzengo tuwe makini na watu kama hawa AM SORRY MAYALA
Nami naomba msamaha kwa wanaokaidi na kubeza maagizo ya Serikali ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa CORONA kwa kuwaita [V]Wazembe[/B], Wapumbavu na Malofa.